Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Hahahah Mutulu Shakur bado yupo hai..Hajawahi ishi Arusha..Hahaha jamiii forums mnanipa life..Yaan nacheka sanaaa
 
Street fame - 2pac
Troublesome '96 - 2pac
As we enter - Nas & Damian Marley.
[Nas]
"Y'all feel me even if it's in Swahili
habari gani"
 
Kiswahili kwa wengi sana inajulikana kama lugha ya wakenya, halafu Africa. Mara chache sana wakaitaja Tanzania.
 
A Team kuna sehemu wanaongea kiswahili, sehemu wanakagulia passport, nimesahau maneno exactly ila walitaja somesort of Zanzibar

Nikita kuna sehemu percy aliongea kiswahili, sikumbuki episode ya ngapi exactly
Alisema natokea zanzibar
 
Series inaitwa Zoo season one sikumbuki ni episode ipi ila kuna character mmoja ni mweusi (sio Mtanzania) alisalimia kiswahili

Pia movie ya X-men apocalypse ile scene ya Charles Xavier amekamatwa na yule apocalypse alivokuwa anaamplify ule uwezo wake wa kuwasiliana na nafsi za watu ulimwengu mzima alivokuwa akiwasiliana na waafrica walitumia Kiswahili

Animation movies
The lion king (hakuna matata)
Mr Peabody and Sherman (lugha moja haitoshi)
 
The last king of Scotland......

Kiswahili kipo sana mule
 
Kwenye series ya the wire season two kuna baharia anaongea kiswahili chenye lafudhi ya kenya.
Pia rais aliyepita wa marekani jina lake barack limetoholewa kutoka baraka
 
Na avater yako ni sawa tu ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…