Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Pia kuna movie ya Angelina jolie inaitwa Lara craft sikumbuki spelling kuna kipande wameongea kiswahilii
Na kuna movie ya alieigiza TITANIC sikumbuki inaitwaje kuna sehemu wametumia kiswahilii

Aliegiza Titanic yupi Kate Winslet,Billy Zane au Leonardo tafafhali nijulishe coz nimekuwa interested!
 
Umeona eh!! Hadi 2pac tena hii kasa.

ni kweli hapo amenogesha kijiwe ila kuna track moja inaitwa Troublesome 96 kutoka kwenye albam ya greatest hits late 2pac ametamka neno swahili sijajua alikuwa anamaanisha nini lakin ndo hivo na si unajua baba ake alikuwa mchaga na amekufa miaka mitatu huko arusha. Sisi wabongo tunajiradharau tu ila tuko juu
 
♥Kiswahili kilikuwa juu tangia zamani kule usa nimeona mistari ya 2pac hiyo nadhani alimaanisha blacks(weusi) niggas in swahili.
♥kuna movie nyingi sana zina kiswazi ndani:-
1.Mean girsl (2004)
2.The Lion King (1994)
3.The A-Team(2010)
4.The fifth estate(2013)
5.Phone Booth(2002)
6.Mighty young doe(1998)
7.The constant gardener(2005)
 
Umeona eh!! Hadi 2pac tena hii kasa.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..kweli wengine
Wana spice up!aka Fix ndefuuu
 
Nimemsikia leo DJ John Dilinga kwenye kipindi cha mtaa wa mangoma radio one akizungumzia hii kitu na kumtaja Queen Latifa kwamba amewahi kuchomeka Kiswahili kwenye nyimbo iliyoshirikisha mastaa kibao miaka ya 80s na pia DJ JD alirap hiyo verse.....long time kiswahili kimevuka boda....

Nilikuwa namfuatilia ndio nikaona niingie chimbo ni kweli hiyo track aliyozungumza ni ya mwaka 1991 na kwenye video wameshika bango limeandikwa "WEUSI SHULE" ndani ya hiyo track kuna ll cool j pia.
 
Pia kuna movie ya Angelina jolie inaitwa Lara craft sikumbuki spelling kuna kipande wameongea kiswahilii
Na kuna movie ya alieigiza TITANIC sikumbuki inaitwaje kuna sehemu wametumia kiswahilii

Hii naikumbuka ya akina Angelina Jolie ila nilisahau jina
 
hakuna matata kwenye lion king. harafu kuna fisi anaitwa shenzi humo ndani.
 
tupac kwenye crazy 1996,nadhani verse ya kwanza alisema screaming ---- U niggaz in Swahili.
PIA kwenye street fame anasema straight conversatin' with my roaddogs kickin' Swahili.
moja ya influences za Pac ilikua godfather wake,mutulu shakur,aliishi Arusha til his death,so Pac aliipenda tz kitambo.
 
Yule mjaruo baada ya mdori/toy lake la roboti kupigwa risasi akasema" vipi wewe mujamaa,mbona umeharibu mdori wangu?"

Jamaa akamlipa hela!!

Hahaha movie in story nzuri imagine ungekuwa we we kwenye nafasi ya Collins pharell ungefanyaje!
 
Back
Top Bottom