Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
 
Ukiwa Kama mwananchi mnabidi kujikusanya mkatafta njia ya kuondoa changamoto zenu ukisema unasubiri kazi za Ccm utakwama pakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…