Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Kwahiyo mapress release ya Wizara ya Afya, kutaka itv ichukuliwe hatua tunayachukuliaje??

Anguko la Gwaji-girl kipenzi cha wakili msomi!

Everyday is Saturday............................... 😎
Huyu mama viatu vya Ummy Mwalimu vikubwa kwake , yule dada kuna maagizo ya kisiasa aliyakubali kwa kichwa tu si kwa vitendo
 
Kuna staff mwenzangu wa zamani (yupo hospitali ya Mkoa) nasubiri anipe taarifa kama wameishapokea mgonjwa aliyepewa rufaa na mkuu wa Mkoa! siasa hizi bwana...
 
Ulitaka ITV waende maabara kwanza ndiyo watoe taarifa ?
 
Waziri kashasema ugonjwa hamna..hawa wananchi mbona kimbelembele saana
 
Sasa acha uzwazwa hanuwakilish rais kwa kufanya upuuzi pale anatetea tumbo lake
 
Anaficha vifo anaogop kutumbuliwa lkn anajua tatizo lipo n watu wanapotez maisha anafanya kumfurahisha mkuu

Kwa nn asifanye uchunguzi na kutoa taarifa sahihi... Alikuwa ana mdanganya rais au jamii?
 
Upo sahii ,hata mkuu wa mkoa kusema wagonjwa wapelekwe hosp rufaa mbeya hayuko sahii, mlipuko wowote huwezi fanya hivyo,vinginevyo unaweza sambaza ugonjwa Kama unaambukiza,pale nikuweka karantin, kuongeza nguvu ya matibabu hapo walipo,wakati uo sampuli zinachukuliwa,mpaka kujiridhisha sio ugonjwa unaoambukiza ndo unaweza safirisha magonjwa, vinginevyo watahalam wa afya nikuendelea toa matibabu sehem husika, so viongozi wawe wanauliza kabla ya kutoa matamko, ila KWA yote nimpogeze mkuu wa mkoa CHALAMILA

 
HUKU MTAANI KUNA WATU WANAAKILI SANA πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
 
Kwahiyo Gwajima na Chalamila wote wawili watumbuliwe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…