johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
Amefanya nini bwashee?!Huyu mama Gwajima ana gubu na ni mropokaji mkubwa..anafanya maamuzi ya kijinga kama hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya nini bwashee?!Huyu mama Gwajima ana gubu na ni mropokaji mkubwa..anafanya maamuzi ya kijinga kama hayo
Huyu mama viatu vya Ummy Mwalimu vikubwa kwake , yule dada kuna maagizo ya kisiasa aliyakubali kwa kichwa tu si kwa vitendoKwahiyo mapress release ya Wizara ya Afya, kutaka itv ichukuliwe hatua tunayachukuliaje??
Anguko la Gwaji-girl kipenzi cha wakili msomi!
Everyday is Saturday............................... 😎
Ulitaka ITV waende maabara kwanza ndiyo watoe taarifa ?Na sidhani hata kama ni sawa kusema "Ugonjwa usiojulikana"....ni vizuri tu kusema "Ugonjwa ambao bado haujafahamika chanzo chake".
Matumizi ya hayo maneno ya mwanzo ni ya kutishana zaidi bila msingi wowote, na hutumiwa sanasana na Jamii vivu na tegemezi, ambao badala ya kuingia maabara kujua tatizo ni nini mnakaa kulalamika mkisubiri "Mabeberu" waje ndio watuambie tatizo ni nini.
Sanasana tutakimbilia kwenye imani za kishirikina tu wala hakuna cha zaidi hapo.
Amefanya nini bwashee?!
Sasa acha uzwazwa hanuwakilish rais kwa kufanya upuuzi pale anatetea tumbo lakeAcha kuwa mjinga!Na hili limezidi kuwa tatizo kwa watanzania wote. Yule Mama hafanyi vile kwa matakwa yake.Anafanya vile kumuwakilisha Magufuli. Ile siyo yule Mama ni Magufuli.Asipofanya vile hana kazi, hana tonge la kila siku! Mzizi wa tatizo ni Magufuli.
Kwa kufanya hayo aliyofanya anateteaje tumbo lake?Sasa acha uzwazwa hanuwakilish rais kwa kufanya upuuzi pale anatetea tumbo lake
Anaficha vifo anaogop kutumbuliwa lkn anajua tatizo lipo n watu wanapotez maisha anafanya kumfurahisha mkuuKwa kufanya hayo aliyofanya anateteaje tumbo lake?
Anaficha vifo anaogop kutumbuliwa lkn anajua tatizo lipo n watu wanapotez maisha anafanya kumfurahisha mkuu
Alijidanganya mwenyewe akidhani anamfurahisha Rais kuficha siriKwa nn asifanye uchunguzi na kutoa taarifa sahihi... Alikuwa ana mdanganya rais au jamii?
Wataalamu wa afya wafike hapo haraka sana ili kuchukuwa sampuli mbali mbali za eneo husika hasa sampuli za maji za maeneo yote husika wapeleke lab ikiwa ni pamoja na sampuli za matapishi choo mpaka kufikia watu 15 wanafariki baadhi watu hapa wanatakiwa kufukuzwa kazi
Kwa hiyo Magufuli anataka vifo vifichwe?Anaficha vifo anaogop kutumbuliwa lkn anajua tatizo lipo n watu wanapotez maisha anafanya kumfurahisha mkuu
HUKU MTAANI KUNA WATU WANAAKILI SANA 💪 💪 💪Upo sahii ,hata mkuu wa mkoa kusema wagonjwa wapelekwe hosp rufaa mbeya hayuko sahii, mlipuko wowote huwezi fanya hivyo,vinginevyo unaweza sambaza ugonjwa Kama unaambukiza,pale nikuweka karantin, kuongeza nguvu ya matibabu hapo walipo,wakati uo sampuli zinachukuliwa,mpaka kujiridhisha sio ugonjwa unaoambukiza ndo unaweza safirisha magonjwa, vinginevyo watahalam wa afya nikuendelea toa matibabu sehem husika, so viongozi wawe wanauliza kabla ya kutoa matamko, ila KWA yote nimpogeze mkuu wa mkoa CHALAMILA
Waziri anaishi Chunya?Waziri kashasema ugonjwa hamna..hawa wananchi mbona kimbelembele saana
Ningekuwa JPM huyu jamaa ningempa kacheo ka Mshauri wa rais! Yupo vizuri!HUKU MTAANI KUNA WATU WANAAKILI SANA 💪 💪 💪
Kwahiyo Gwajima na Chalamila wote wawili watumbuliwe?!Upo sahii ,hata mkuu wa mkoa kusema wagonjwa wapelekwe hosp rufaa mbeya hayuko sahii, mlipuko wowote huwezi fanya hivyo,vinginevyo unaweza sambaza ugonjwa Kama unaambukiza,pale nikuweka karantin, kuongeza nguvu ya matibabu hapo walipo,wakati uo sampuli zinachukuliwa,mpaka kujiridhisha sio ugonjwa unaoambukiza ndo unaweza safirisha magonjwa, vinginevyo watahalam wa afya nikuendelea toa matibabu sehem husika, so viongozi wawe wanauliza kabla ya kutoa matamko, ila KWA yote nimpogeze mkuu wa mkoa CHALAMILA