Nimekuwa mpiga kura mwaminifu tangu tukiwa katika mfumo wa chama kimoja. Never missed.
Lakini kauli za wakuu zilinivunja moyo.
Najiuliza, ntaendaje kupiga kura huku nina mashaka kuwa kura yangu inaweza badilishwa.
Hapa kuna watu watasema ushahidi upo wapi?
Nakuoa ushahidi.
Mosi, kuna mkuu alisema ninakupa ukurugenzi, gari nk, halafu jimbo liende upinzani !
PIili, mwingine alisema, mkipigia upinzani zinahesabiwa CCM.
Tatu, wasaidizi wengine wa wakuu wametamka angalau mara mbili kuwa kura zonachakachuliwa, na walio tamka hivyo walitolewa madarakani.
Bila shaka wapo watu wengi waliyasikia hayo.
Wanaoenda kujiandikisha na kwenda kupiga kura, kila la kheri na wabarikiwe tu.
Lakini mimi wacha mniite mtakavyo siwezi kuhalalisha kisicho halali.