Wakiikataa CCM then chama mbadala kiwe kipi?Haya maneno yako ni mazuri sana hapa.
Natamani wananchi hao hao wasiishie kwenye kususia kujiandikisha kupiga kura. Wakiishia kufanya hivyo maana yake CCM tunayo tena miaka mitano zaidi na pengine zaidi ya hapo.
Kama ujinga umewaondoka wananchi; tutegemee hatua ya ziada itakayo fuata baada ya kukataa kujiandikisha. Hiyo hatua iwe ni ya kuikataa kweli kweli CCM; hata ikitumia mabavu kubaki madarakani, wakatae.
Ikitokea hivyo, hapo nami nitaelewa kuwa wananchi wametoka kwenye ujinga.
Hiyo ni faida kwa watawalaWatu hawawezi kuendelea kuwa wajinga muda wote.
Utaniwia radhi sana mkuu 'antimatter', kwani kamwe sikubaliani kabisa na dhana hii.Upinzani walitaka kuwe na katiba mpya au angalau Tume huru ya uchaguzi kabla ya huo uchaguzi ili yale madhila ya 2020 yasijirudie, ila wamepigwa pini makusudi.
Kama mambo yote ni yale yale ya 2020 kutakuwa na jipya?
Kwa hiyo mmeamua kususa?Watanzania sio wajinga kiasi hicho hata uchaguzi mkuu watu hawatokua wengi, na hii yote ni kuvurugwa kwa chaguzi baadhi wazi wazi , hayo ndio matokeo na hali hiyo haitobadilika karibuni , watu wameona waendelee na shughuli zao kuliko kufanywa wajinga miaka yote, hata Mimi binafsi siwezi kwenda kupoteza muda wangu wakati najua hua Kura zinaibiwa , yaani nilianza kuchagua 85 hadi Leo niendelee kua mjinga haipo hiyo
Hv kabisa mtu unaweza kwenda kupanga folen kupiga kura wakati najua kiongozi wangu akishapitishwa na chama keshashinda tayari kura wakapge chadema na ActSwali ni nani afanye huo uhamasishaji?
CHADEMA wanapo itisha maandamano kwa sababu halali kabisa wananchi wanashindwa kujitokeza kwa wingi kuunga mkono maandamano hayo.
Hapa tunaweza tusiwalaumu wananchi, kwa sababu ya vitisho vingi vinavyo fanywa na polisi.
Sasa wakati huu wa kujiandisha kuwa wapiga kura, ingetegemewa kwamba CHADEMA na asasi mbalimbali wangefanya juhudi kubwa kuwa elewesha wananchi kwamba hii ndiyo nafasi yao nzuri ya kutumia haki yao na uhuru wao kwa kupiga kura na kuwapata viongozi wanao taka wawaongoze.
Hata kama CCM wakipanga kufanya mizengwe katika uchaguzi; polisi hawataweza kuwaelekezea wananchi mitutu ya bunduki wakati wakienda kupiga kura kwa wingi wao.
Kwa nini fursa hii wananchi hawaambiwi kuwa ipo na wanaweza kuitumia?
Bila shaka mkuu 'Proved' utakuwa umenielewa ni nani hasa wa kulaumiwa.
Kusema kweli inanishangaza sana kwa nini mambo yana kwenda hivi sasa hivi kama yalivyo. Nilitegemea hivi vyama vya upinzani vingekuwa kwenye kazi kubwa sana wakati huu; lakini ni kinyume kabisa, CCM ndio wanao onekana kufanya wanayo taka yafanyike. Ni ajabu sana.
Mkuu siamini kabisa kuwa unaniuliza swali hili na kutaka kweli nilijibu.Wakiikataa CCM then chama mbadala kiwe kipi?
Jibu rahisi sana ni HAPANA.Hv kabisa mtu unaweza kwenda kupanga folen kupiga kura wakati najua kiongozi wangu akishapitishwa na chama keshashinda tayari kura wakapge chadema na Act
Mkuu, 'Gulwa', huu siyo "wizi wa kishamba". Imepangwa maksudi iwe hivyo; na nyinyi mnao susa ndio mtaji mkubwa kwao.Watu hatuna imani na wasimamizi wa uchaguzi, tumeamua kuwaachia ccm waendelee wenyewe na wizi wao wa kishamba
Ukiskia watu wamechafukwa mtaani huwezi amini
Leo jilani yangu ananiambia wakitaka nika vote wanipe hela ya kupotezea mda nimeshindwa kumwelewa alikuwa Ana maana gani
Nimejikuta na mwitikia tu eti eeeh?? Akqni jibu hivohivo.,
kikauzu Kama tuna ugomvi