LGE2024 Wananchi hawajajitokeza kujiandikisha ktk daftari

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huu ni ukweli mtupu. Umuhimu wa kujiandikisha unazidi kupungua kwa Kasi sana kwa sababu ya wizi wa kura wenye baraka zote kutoka ccm
 
CCM tunajiandikisha kama kawa, kwa raha zetu,

Wasiyojiandikisha ndiyo atakuja kuwa wa kwanza kulalamika kudhulumiwa kura.

Kondoo wanajulikana.
 
Mkuu,.let us be honesty on this! Hatuwezi kufanya majaribio ya Uongozi katika Nchi yetu.

Nikiri kuwa mimi sio mtu wa siasa, na pengine baadhi ya michango yangu huwa naonesha kutopendezwa na baadhi ya mambo yanayoendelea.

My concern is,

1. Vyama vijiimarishe kushika dola, na sio hizi drama tunazo ziona kila kukicha!

2. Vyama vitengeneze watu ambao ni wafia chama, sio hawa ambao ni njaa tupu, kila mtu anapigania tumbo lake

3. Vyama bado havina mtaji wa wanachama wa uhakika katika kuimarisha na kukipigania chama kama ilivyo kwa CCM.

4. Vyama havina mbinu mbadala, na hii inasababishwa na kukosa watu mbadala wa kuleta mawazo mapya, wapo na mbinu zile zile za toka mwaka 1992.

Vyama vibadilishe mifumo ya uendeshaji wake ili viweze kushindana na CCM. Ikiwezekana viungane
 
CCM tunajiandikisha kama kawa, kwa raha zetu,

Wasiyojiandikisha ndiyo atakuja kuwa wa kwanza kulalamika kudhulumiwa kura.

Kondoo wanajulikana.
Wapiga kura fake.

Utawala wa Samia watu wameususa kiaina.
 
Unawaonea bure upinzani watumie media ipi ? Ambayo basata hawatailima barua? Maandsmano wanakamatwa kutekwa na kupigwa njia ni moja tu nayo ni.......
 
Wapiga kura fake.

Utawala wa Samia watu wameususa kiaina.
Hizo ni fikra zako, una haki nazo.
Mtafuta basi wako orijino. Maana sisi wote ni feki.

Sisi tumejiandikisha na watu wanaendelea jujiandikisha.

Halazimishwi mtu. Ni hiyari.

Kondoo hawajifichi mvua wala jua.
 
Unawaonea bure upinzani watumie media ipi ? Ambayo basata hawatailima barua? Maandsmano wanakamatwa kutekwa na kupigwa njia ni moja tu nayo ni.......
Kabisa..
 
Aisee..!!
πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…