Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.
Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"
Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi zao kihuni ipo siku watapambana na raia hivihivi mchana kweupee.
Tunataka majeshi professional yenye nidhamu siyo magenge ya wahuni na watekaji