Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

Ndivyo majeshi imara na ya kisiasa huwa yanalaumiwa na wananchi duniani kote..

Na dosari, kasoro na changamoto hizo kidogo, ambazo maranyingi hutokea ndani ya jamii yenyewe, tena kwa kuviziana. Lakini lawama wanapelekewa vyombo vya ulinzi usalama. Wakati sio shida wala tabu ya Jeshi...

Yaani unammendea mke wa mtu kwa siri, ukitimiza wizi wako bila tatizo jeshi sio baya na wala halina matatizo..

ukifumaniwa na kuparurwa na huenda ukapoteza maisha hapo sasa jeshi ni baya sana na dhaifu mno, ebooow. Hiyo ni useless bana . Wizi wako kwa wake za watu na dhuluma za kibiashara kwa wenzako ndio matokeo yake hayo. Kuna watu hawajui kuongea au kunung"unika, wao wanajua kutenda tu.. usicheze na vitu binafsi vya watu bana..


Kwenye vyama vinavyoendelea na uchaguzi wa ndani, kueni wangwana katika Uchaguzi huo, vumilianeni. Jueni kua mamlaka za Dunia zimetoka kwa Mungu na sio kuuana...
Wamalize uchaguzi wao kwa salama na amani, waTanzania wamechoka fujo.

Hata katika hali hiyo ya lawama, utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini utaendelea kuimarika zaidi, na kujizatiti kulinda watu, kazi na makazi yao nchini...

waTanzania wamuamini Mungu k wanza, kwani huyo ndie mlinzi wa mwanzo kwa mwili na roho zao 🐒
Mungu gani anaruhusu wezi wa kura kutawala nchi? Mamraka ya dunia yanatoka kwa watu na sio Mungu. Yangekuwa yanatoka kwa Mungu wauwaji kama Magufuli na Samia urasi wangeusikia radioni tu na sio kukaa ikulu.
 
Mungu gani anaruhusu wezi wa kura kutawala nchi? Mamraka ya dunia yanatoka kwa watu na sio Mungu. Yangekuwa yanatoka kwa Mungu wauwaji kama Magufuli na Samia urasi wangeusikia radioni tu na sio kukaa ikulu.
una Tatizo kidogo tu juu ya uelewa na ufahamu juu ya mambo haya ya uongozi na utawala..

nenda usome kwa biblia ako mistari miwili tu, na itakusaidia sana,

Warumi 13:1-2 utaelewa vizuri zaidi juu ya baraka za kutii mamlaka za Dunia zilizotoka kwa Mungu, kwasababu sauti ya wengi ni sauti ya Mungu..

kiburi na ukaidi wako kwa mamlaka eti kwasabubu huelewi hilo sio haki au excuse za wenye viburi na wasio na utii kwa mamlaka wakaachwa tu.

utalazimishwa kutii mamlaka upende usipende 🐒
 
Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.

Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"

Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi zao kihuni ipo siku watapambana na raia hivihivi mchana kweupee.

Tunataka majeshi professional yenye nidhamu siyo magenge ya wahuni na watekaji

View attachment 3101104
Tukiendelea na mwamko huu kila kona basi tutafika mbali muda mfupi tu ujao.
 
Back
Top Bottom