Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
No,😁 dah umejibu kwa uwezo wako na uelewa wako , asante.
ni kawaida tu,
angalia mfululizo wa matukio ya mauaji ya kuviziana USA, mpka vitoto vidogo vya shule vinauawa, cheki black American wanauawa mpaka na polisi..
umewahi kuskia wananchi wanasema ati sijui Jeshi lao ni imara zaidi au dhaifu sana?
hakuna namna, uwe na Imani uwe huna Imani Taasisi hizi za ulinzi ndio kimbilio la kila moja..
ukidharau polisi kwa kufuata mkumbo, basi sawa, likikupata la kupata report tu huko Twitter na HQ ya chama chota hurumaaa weeee,
halafu ukiona husaidiki lolote, ndio sasa uje kurepoti polisi baada ya wiki, likikushinda zaidi, right?
si ndivyo inavyofanyika? sasa sijui kwa faida ya nani?🤣