Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wakishapigwa kiberiti wawili watatu tutaheshimiana maana ujinga umezidi sasa. CCM kwa kuliingiza jeshi la polisi kwenye siasa wamefanya kosa kubwa sana, hakuna mwenye imani tena na polisi hii ni hatari kubwa na askari wenyewe wanaishi uraianiKatika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.
Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"
Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi zao kihuni ipo siku watapambana na raia hivihivi mchana kweupee.
Tunataka majeshi professional yenye nidhamu siyo magenge ya wahuni na watekaji
View attachment 3101104
actually,Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.
Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"
Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi zao kihuni ipo siku watapambana na raia hivihivi mchana kweupee.
Tunataka majeshi professional yenye nidhamu siyo magenge ya wahuni na watekaji
View attachment 3101104
Nahili litaleta ugumu wa utekelezaji majukumu yao, yaani unakuwa na watu wasiojulikana wa kudumu ambao hawastaafu, wala uhai usio koma, ukitumia akili mnemba kumbe wataalamu wanaweza kuwatambuaWakishapigwa kiberiti wawili watatu tutaheshimiana maana ujinga umezidi sasa. CCM kwa kuliingiza jeshi la polisi kwenye siasa wamefanya kosa kubwa sana, hakuna mwenye imani tena na polisi hii ni hatari kubwa na askari wenyewe wanaishi uraiani
actually,
Majeshi yetu imara na yakisasa sana nchini,
Yataendelea kutekeleza majukumu na kazi zao za kikatiba na kwa mujibu wa sheria zilizowekwa, bila kuathiri uhuru, haki na Imani ya mtu yeyote kwa Mungu.๐
Halafu humu wanakwambia Tanzania kwanzaMajeshi ya kulinda maslahi ya kisiasa ya watawala kwanza.
huenda hayo yako nchi nyingine na si Tanzania gentleman๐Majeshi ya kulinda maslahi ya kisiasa ya watawala kwanza.
Sasa hapo chakubisha ni kipi ndugu?huenda hayo yako nchi nyingine na si Tanzania gentleman๐
acha ushirikina wewe Amini Mungu Pekee ๐Huwezi kuwa na imani na jeshi la hovyo hivi
maybe,Sasa hapo chakubisha ni kipi ndugu?
Kwa haya matukio ya kutekwa watu halafu majeshi hayafanyi uchunguzi wa kina ,wewe hauoni kama yanapotezea imani kwa wananchi?maybe,
ungechek na anaebisha ๐
Ndivyo majeshi imara na ya kisiasa huwa yanalaumiwa na wananchi duniani kote..Kwa haya matukio ya kutekwa watu halafu majeshi hayafanyi uchunguzi wa kina ,wewe hauoni kama yanapotezea imani kwa wananchi?
๐ dah umejibu kwa uwezo wako na uelewa wako , asante.Ndivyo majeshi imara na ya kisiasa huwa yanalaumiwa na wananchi duniani kote..
Na dosari, kasoro na changamoto hizo kidogo, ambazo maranyingi hutokea ndani ya jamii yenyewe, tena kwa kuviziana. Lakini lawama wanapelekewa vyombo vya ulinzi usalama. Wakati sio shida wala tabu ya Jeshi...
Yaani unammendea mke wa mtu kwa siri, ukitimiza wizi wako bila tatizo jeshi sio baya na wala halina matatizo..
ukifumaniwa na kuparurwa na huenda ukapoteza maisha hapo sasa jeshi ni baya sana na dhaifu mno, ebooow. Hiyo ni useless bana . Wizi wako kwa wake za watu na dhuluma za kibiashara kwa wenzako ndio matokeo yake hayo. Kuna watu hawajui kuongea au kunung"unika, wao wanajua kutenda tu.. usicheze na vitu binafsi vya watu bana..
Kwenye vyama vinavyoendelea na uchaguzi wa ndani, kueni wangwana katika Uchaguzi huo, vumilianeni. Jueni kua mamlaka za Dunia zimetoka kwa Mungu na sio kuuana...
Wamalize uchaguzi wao kwa salama na amani, waTanzania wamechoka fujo.
Hata katika hali hiyo ya lawama, utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini utaendelea kuimarika zaidi, na kujizatiti kulinda watu, kazi na makazi yao nchini...
waTanzania wamuamini Mungu kwanza, kwani huyo ndie mlinzi wa mwanzo kwa mwili na roho zao ๐
Mule kuna polisi wahalifuactually,
Majeshi yetu imara na yakisasa sana nchini,
Yataendelea kutekeleza majukumu na kazi zao za kikatiba na kwa mujibu wa sheria zilizowekwa, bila kuathiri uhuru, haki na Imani ya mtu yeyote kwa Mungu.๐