Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

😁 dah umejibu kwa uwezo wako na uelewa wako , asante.
No,
ni kawaida tu,
angalia mfululizo wa matukio ya mauaji ya kuviziana USA, mpka vitoto vidogo vya shule vinauawa, cheki black American wanauawa mpaka na polisi..

umewahi kuskia wananchi wanasema ati sijui Jeshi lao ni imara zaidi au dhaifu sana?

hakuna namna, uwe na Imani uwe huna Imani Taasisi hizi za ulinzi ndio kimbilio la kila moja..

ukidharau polisi kwa kufuata mkumbo, basi sawa, likikupata la kupata report tu huko Twitter na HQ ya chama chota hurumaaa weeee,

halafu ukiona husaidiki lolote, ndio sasa uje kurepoti polisi baada ya wiki, likikushinda zaidi, right?

si ndivyo inavyofanyika? sasa sijui kwa faida ya nani?🀣
 
Mkuu , nafikiri umetuona humu ni watoto wadogo, ila basi tu , asante sana nduguπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mule kuna polisi wahalifu
Wawasafishe

Ova
dosari na kasoro za kiutendaji ndani ya polisi zipo, lakini pia na watendaji baadhi wasio makini na wasio na uwezo pia wapo...

nadhani ni suala la muda, baada ya jambo hilo la kamanda Ally Mohamed Kibao kuhitimishwa kina marekebisho kidogo ya kiutendaji yanafanyika, ni muhimu sana kua wastahimilivu na wenye subra kidogo πŸ’
 
Mkuu , nafikiri umetuona humu ni watoto wadogo, ila basi tu , asante sana nduguπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
fuatilia mambo vizuri kwa ukaribu kidogo utaona hili ambalo ni wazi kabisa...

hao watu wa kutegemea huruma ya wananchi, jambo likimtokea mwanachama wake kunaripotiwa Twitter na HQ ya chama tu. Polisi hapana, hatuiamimi πŸ’

after one week huruma ya wananchi wakiona haimake sense, ndio hao vimbelembele ng'we ng'we ng'we polisi ng'we ng'we ng'we, nonsense kabisa alaaaa🀣
 
😁😁 sawa mkuu , kisiasa upo sawa kusema hivyo.
 
Acha wananchi wapate uzoefu kwanza, halafu tutaanza kuzungumza mengine.
 
Polisi na vyombo vingine vya dola nk watekaji.
 
We mjinga unatafuta nikulambe tusi moja utulie
halafu wiki hii umevumilia mno mama Ima dah!

hujayaporomosha kabisa aise yale mazito mazito ambayo unayatoa kwa mipangilio maalumu dah..

hivi huwa unatumia drone kuporomosha matusi ee🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…