Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

Mungu gani anaruhusu wezi wa kura kutawala nchi? Mamraka ya dunia yanatoka kwa watu na sio Mungu. Yangekuwa yanatoka kwa Mungu wauwaji kama Magufuli na Samia urasi wangeusikia radioni tu na sio kukaa ikulu.
 
una Tatizo kidogo tu juu ya uelewa na ufahamu juu ya mambo haya ya uongozi na utawala..

nenda usome kwa biblia ako mistari miwili tu, na itakusaidia sana,

Warumi 13:1-2 utaelewa vizuri zaidi juu ya baraka za kutii mamlaka za Dunia zilizotoka kwa Mungu, kwasababu sauti ya wengi ni sauti ya Mungu..

kiburi na ukaidi wako kwa mamlaka eti kwasabubu huelewi hilo sio haki au excuse za wenye viburi na wasio na utii kwa mamlaka wakaachwa tu.

utalazimishwa kutii mamlaka upende usipende 🐒
 
Tukiendelea na mwamko huu kila kona basi tutafika mbali muda mfupi tu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…