KERO Wananchi Kibangu mtaa wa Kajima jimbo la Ubungo hatuna maji mwezi wa tatu sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bahari tunayo tumeshindwa kuweka desalination plant tunapambana na mto Ruvu
 
Yupo bize huko kusifia watawala anasahau jimbo lake.

Useless Member of Parliament
 
Poleni ubungo na vitongoji vyake.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wr Umeishia darasa la ngapi wewe?
Mwenzio kasema maeneo ya ubungo, riverside na msewe....kimara stopover imekuja vipi kwenye mada?
 
Kuna maeneo mengine sijui watu mnaishije

Ova
 
Pole sana mkuu najaribu kuwaza mkijisaidia mnachambia nini!??

Sipati majibu kabisa
 
kibangu inakuwaga na shida ya maji sana, nimeishi mitaa hiyo
 
Bado hujaenda maramba mawili sjui msakuzi huko 😄 balaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…