KERO Wananchi Kibangu mtaa wa Kajima jimbo la Ubungo hatuna maji mwezi wa tatu sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
kibangu inakuwaga na shida ya maji sana, nimeishi mitaa hiyo
Shida inatokana na nini huko au kwa sababu kuko juu...
Na mipango miji kidogo shida yaani namna ya kuunganisha mabomba kuwafikishia watu

Ova
 
sijuagi kwa nini, nahisi kuna kauzembe tu kapo, miaka ya nyuma 2014 huko hali ilikuwa mbaya sana, maji kwenye mabomba yalikuwa yanatoka mara moja ndani ya wiki tatu, au yasitoke kabisa
 
Huko ndo balaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu maji yanawatesa sana
Ila wakati wa uchaguz mitaa walikuwa wanaleta boza la maji
Dawasco wanawagawia watu maji...uchaguz umeisha maumivu pale pale

Ova
 
Ubungo kuna shida ya maji sio poa

Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi

Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji

Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.

Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi

Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote

Hizo sehemu hazifai
Back in 2006 nikiwa form four na wanangu tulipanga chumba maeneo ya ubungo kibangu aisee kulikuwa na shida ya maji usipime! Nashangaa imepita miaka karibia 20 tatizo bado lipo palepale, inasikitisha sana
 
Ubungo kuna shida ya maji sio poa

Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi

Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji

Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.

Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi

Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote

Hizo sehemu hazifai
Waambie watanzania kuwa waislamu wanatuletea maji ya zamzam kutoka arabuni hiyo samia anafanya kazi kubwa sana
 
Shida inatokana na nini huko au kwa sababu kuko juu...
Na mipango miji kidogo shida yaani namna ya kuunganisha mabomba kuwafikishia watu

Ova
Uwezo wa mitambo kupumb maji kutoka kwenye matank na kuwapelekea wakazi WA kwenye mwinuko na hili tatizo halitakwisha kwasababu Lucas Mwashambwa anakubali kuwa Tanzania itauza umeme nje Ati kwasababu ni mwingi Sana kwahiyo mambo ya kutumia umeme kusukumia maji kuwapelekea wakazi wenye uhitaji hayana kipaumbele .Kama Leo Tu unatuambia kuna mitambo imewashwa pale Nyerere power plant na hadi sasa kuna maeneo hayana maji sababu zikiwa ni zile zile sasa huu mradi wa Nyerere Una tija gani Kwa taifa? Nje hapo Lucas atuambie Dar es salaam ina upungufu wa rasilimali maji na kwamba Dar es salaam ni jangwa moja linalo tegemea Oasis
 
Bahari tunayo tumeshindwa kuweka desalination plant tunapambana na mto Ruvu
Desalination si zoezi dogo,kwa gharama ya kusimika miundombinu na kuendesha.Ni bora kuwekeza kwenye teknolojia ya kurejesha majitaka.
 
Kibangu kwa Ovyo ikija ishu ya Maji. Bila simtank, kisima au majaba ya kutosha sio mtaa wa kuishi.
 
Ubungo kuna shida ya maji sio poa

Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi

Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji

Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.

Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi

Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote

Hizo sehemu hazifai
Wenyewe huko walipo wanapongezana kuwa wanaupiga mwingi na hivyo mitano tena.
 
Back
Top Bottom