mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 727
- 2,004
Kwaiyo kimara stopover haipo ubungo ok bas ipo kinondoniWr
Umeishia darasa la ngapi wewe?
Mwenzio kasema maeneo ya ubungo, riverside na msewe....kimara stopover imekuja vipi kwenye mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kimara stopover haipo ubungo ok bas ipo kinondoniWr
Umeishia darasa la ngapi wewe?
Mwenzio kasema maeneo ya ubungo, riverside na msewe....kimara stopover imekuja vipi kwenye mada?
Shida inatokana na nini huko au kwa sababu kuko juu...kibangu inakuwaga na shida ya maji sana, nimeishi mitaa hiyo
sijuagi kwa nini, nahisi kuna kauzembe tu kapo, miaka ya nyuma 2014 huko hali ilikuwa mbaya sana, maji kwenye mabomba yalikuwa yanatoka mara moja ndani ya wiki tatu, au yasitoke kabisaShida inatokana na nini huko au kwa sababu kuko juu...
Na mipango miji kidogo shida yaani namna ya kuunganisha mabomba kuwafikishia watu
Ova
Huko ndo balaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujaenda maramba mawili sjui msakuzi huko [emoji1] balaa
Ova
Watu maji yanawatesa sanaHuko ndo balaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu kinondoniUmeongea ukweli halisi, afu Mamlaka za Maji hazijari wala nn.
Mxxxxiiiiieeew.
Back in 2006 nikiwa form four na wanangu tulipanga chumba maeneo ya ubungo kibangu aisee kulikuwa na shida ya maji usipime! Nashangaa imepita miaka karibia 20 tatizo bado lipo palepale, inasikitisha sanaUbungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.
Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi
Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote
Hizo sehemu hazifai
Waambie watanzania kuwa waislamu wanatuletea maji ya zamzam kutoka arabuni hiyo samia anafanya kazi kubwa sanaUbungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.
Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi
Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote
Hizo sehemu hazifai
Uwezo wa mitambo kupumb maji kutoka kwenye matank na kuwapelekea wakazi WA kwenye mwinuko na hili tatizo halitakwisha kwasababu Lucas Mwashambwa anakubali kuwa Tanzania itauza umeme nje Ati kwasababu ni mwingi Sana kwahiyo mambo ya kutumia umeme kusukumia maji kuwapelekea wakazi wenye uhitaji hayana kipaumbele .Kama Leo Tu unatuambia kuna mitambo imewashwa pale Nyerere power plant na hadi sasa kuna maeneo hayana maji sababu zikiwa ni zile zile sasa huu mradi wa Nyerere Una tija gani Kwa taifa? Nje hapo Lucas atuambie Dar es salaam ina upungufu wa rasilimali maji na kwamba Dar es salaam ni jangwa moja linalo tegemea OasisShida inatokana na nini huko au kwa sababu kuko juu...
Na mipango miji kidogo shida yaani namna ya kuunganisha mabomba kuwafikishia watu
Ova
Ahsantee!!Karibu kinondoni
Ova
Yeah, chini hapo coz UDSM ulisema mwenyewe.hapo chini
Desalination si zoezi dogo,kwa gharama ya kusimika miundombinu na kuendesha.Ni bora kuwekeza kwenye teknolojia ya kurejesha majitaka.Bahari tunayo tumeshindwa kuweka desalination plant tunapambana na mto Ruvu
Wenyewe huko walipo wanapongezana kuwa wanaupiga mwingi na hivyo mitano tena.Ubungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi.
Kuna mtaa unaitwa Kajima (Rivaside juu) huu mtaa ni balaa hamna siku imewahi kutokea maji yakakaa hata robo siku hali ni mbaya sana na huku hakuna visima, watu wamelalamika Dawasa na wameenda hadi dawasa lakini dawasa ni kama wamepuuza na kuwatelekeza wananchi
Tunaomba mtupazie sauti jamani, tunaomba jamiiforum mtupostie kero yetu hii kwenye page zenu za mitandao ya kijamii labda waziri atatusikiliza maana tumelalamika ngazi zote lakini hatujapata msaada wowote
Hizo sehemu hazifai
Nlijaribu kukaaga madale nkachemsha mambo kama hayaAhsantee!!
Ila napoishi mie hakuna shida ya maji.
Huko msakuzi sjui lipelanya makabe, sjui kwa ribaba sio poaAhsantee!!
Ila napoishi mie hakuna shida ya maji.