REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kiongozi watu wanasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B hususani wakandarasi ambao wamekamilisha miradi mbali mbali katika halmashauri na malipo yao kizungumkuti wanamtafuta makonda usiku na mchanaSiyo wote wanaotoa ushuhuda kwa mwamposa kwamba ni kweli wanashuhudia. WENGINE HUPANGWA
Tujitakari
Tupo seriously kama huna hoja nenda kandamane angalia ratibaMnatujazia server jf,kila leo PM,PM,PM.
Mnammaarufisha kuliko hata M/KITI mwenyewe.
Hao wakandarasi wanamfuata makonda kama wazir wa fedha au??Kiongozi watu wanasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B hususani wakandarasi ambao wamekamilisha miradi mbali mbali katika halmashauri na malipo yao kizungumkuti wanamtafuta makonda usiku na mchana
Tatizo siyo wakuu wa mikoa. Tatizo ni total system failure, ukianzia na aliye ikulu. Wakuu wa mikoa wamejiweka wenyewe? Ni nani anasimamia kazi zao?Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao wanajukumu la kusikiliza kero zao nakuzitafutia ufumbuzi au wanaenda hawasikilizwi je kuna haja tena kuwepo na hao viongozi maeneo hayo ambayo wanainchi wana kero ila wanakimbilia kwa makonda kiukweli inafikilisha sana tena sana
Hivi ulishamsikia Rc wa Tbr akiongea au namna anavyoongea?Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao wanajukumu la kusikiliza kero zao nakuzitafutia ufumbuzi au wanaenda hawasikilizwi je kuna haja tena kuwepo na hao viongozi maeneo hayo ambayo wanainchi wana kero ila wanakimbilia kwa makonda kiukweli inafikilisha sana tena sana
Siyo wote wanaotoa ushuhuda kwa mwamposa kwamba ni kweli wanashuhudia. WENGINE HUPANGWA
Tujitakari
Siye sijui nani katuloga watz makonda yupo site uhalisia unaonekana watu wana matatizo viongozi hawajibiki tnahoji hapa gafla mtu anakuja ooohh ile script aisee kama taifa tuna kazi kubwa sanaNan anapangwa mzee na wengi wanaoongea wanasema kabisa mkuu wa mkoa ama wilaya ama rpc anajua lkn hakupata kabisa msaada wewe na kichwa chako icho una amin kabisa et wanapangwa
Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao wanajukumu la kusikiliza kero zao nakuzitafutia ufumbuzi au wanaenda hawasikilizwi je kuna haja tena kuwepo na hao viongozi maeneo hayo ambayo wanainchi wana kero ila wanakimbilia kwa makonda kiukweli inafikilisha sana tena san
Mifumo ya uongozi na utawala haitusaidiiTumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao wanajukumu la kusikiliza kero zao nakuzitafutia ufumbuzi au wanaenda hawasikilizwi je kuna haja tena kuwepo na hao viongozi maeneo hayo ambayo wanainchi wana kero ila wanakimbilia kwa makonda kiukweli inafikilisha sana tena sana