Kwanini asikubali? Amekubali Kagame ambaye miaka ya awali alikataa kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hataendelea na madaraka, tena kuna mara nyingine alihojiwa na Jenerali Ulimwengu. Ni mwaka jana tu ndipo Kagame akaanza kubadilisha kauli na kusema hana sababu ya kukataa maoni ya wengi kama wanataka aendelee. Hatimaye katiba ikabadilishwa na sasa anagombea na atashinda na kuweza kuongoza kwa miaka 7 mingine-baada ya kumaliza 14!Kitu kama hicho hakiwezi kutokea,wapambe tu ndo wanajipendekeza kuandaa maandamano ya kuomba aongoze zaidi ya muda uliowekwa kikatiba,yeye hawezi kukubali
Kabila,Nkurunzinza,Museveni,Kagame,........Magufuli????????????????????....hasara ya kikanda!!!!! itakuwa.Most likely we are heading to Kagame, Mugabe and Museveni's cases.
Time will tell
Kwani kutakuwa na tatizo gani akiongoza miaka yote kama ana dhati kabisa na uthubutu wa kuwatumikia wananchi na kujenga uchumi wa ukweli, real economy, na kuachana na mauchumi ya kufikirika ,artifitial economy. Lets be realistic. Watanzania tunataka nini. Nadhani kuna wengine wanawaza kupata mavyeo tuu wamejawa na ubinafsi lakini sio uzalendo katika kutumikia nchi. Sisi tunachotaka ni maendeleo. Na kama tunaona mtu huyu anatupekeka kule tunapotaka wacha aongoze tuuHabar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeanda, na na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Haina shida kama anatupeleka kule tunapopataka. Kwani kamanda wewe unataka nini hasa nchiniUmhuuuh najisikia kichefu chefu kwa sababu nimehisi upepo wa ki_kurunzinza unavuma Tanzanight
Kama kizuri hakipigiwi debe huwa kinafanywaje. Sijawahi kusikia watu wanafunga midomo kwa kitu kizuri hata kidogo. Lakini pia tunajua hii ni vita kati yenu wanaufaika wa makanikia, unga na makontena hewa na serikali. Nawaambieni mtakaa chini. Hamuwezi shinda vita hii na serikali.na wananchi tunasema Magufuli aluta kontinuaaa.... mapambano endeleza mzeeKizuri kinajiuza, kibaya chajitembeza. Ukiona kitu kinapigiwa debe ujue hakiuziki.
Kwa lugha nyingine aongoze katika kipindi chote cha uhai wake hapa dunianiHuo sasa ni uchizi...aongoze miaka 100?
Embu tuambie chama gani zaidi ya ccm ambacho kina watu wanaojitambua. Labda tuanzie hapaTwaweza hawakukosea kusema ccm ni chama kinachoungwa mkono na watu wasiojitambua
Acha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua thread
Mambo ya kubadili katiba ili kiomgozi asiwe na UKOMO wa madaraka ni bema wakawaachia CHADEMA. Ingawa kiukweli wananchi wengi kwa sasa wanahofu kama Rais atakayefuata hataturudisha Kwenye nchi ya MADILI, UFISADI na kuchekacheka hata kwenye issue serious.
Naona tunataka kuvuka madaraja wakati hata hiyo mito hatujaiona.Ni kweli usemayo hata mm nakubali Mbowe kachemka. Ila huko cdm kama hukubaliani na hilo unaweza kuhama chama au kuanzisha cha kwako kama Zito. Je kwenye nchi? Kweli unaweza fananisha katiba ya nchi na ya cdm? You can't be serious.