Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu una tafsiri nzuri ila kwenye penal code haipo hivyo, nakubali hilo ni kosa kibwa lililopo kwenye sheria yetu ila bila kufanyika mabadiliko ya hii sheria huu mtazamo wako ambao ni mzuri na sahihi kabisa hautawezekana kutekelezeka.Mkuu nafikiri hapo ndipo niliposema tatizo ni interpretation tu. Ushoga ni noun na kufira au kufirwa ni kitendo ambacho kimekatazwa na sheria na makosa ya jinai yana deal na vitendo zaidi. Hivyo shoga akikamatwa anafirwa na mfiraji wote wanakosa ni kama mtoa na mpokea rushwa wote wanamakosa kwa mujibu wa sheria. Hakuna kosa la ushoga bali kitendo ndicho kinakatazwa na sheria.
Sababu hadi sasa tu, sheria yenyewe inamkuta hatiani anayeingilia na sio anayeingiliwa. Nadhani dhumuni la bunge wakati wanaitunga hii sheria ilikuwa ni kuwalinda watoto, wanawake na makundi maalumu, sidhani kama waliwaza kuwa kuna kundi litakalotaka lenyewe kuingiliwa ili waone namna yakufanya ni kosa kwa pande zote mbili japo hapo napo kuna wanaolazimishwa ambao hawajaridhia wenyewe ambapo nadhani sheria ndio ililenga kuwalinda hao.