Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Humo humo kati wapo Wala mashoga
 
Mungu alimpa muongozo mwanadamu aishije duniani
unapoukataa ni hasara kwako sio kwake.Ukishamuachaa Mungu unakuwa hauna muongozo wa maisha huwezi jua mema na mabaya.
Unakuwa SAwa na mnyama.
Hao wameshatoka kwenye ubinamu.
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Kwani unaandamana kwa ajili ya nini. Mashoga wapigwe viboko huko mtaani.
 
Ushoga ulichochewa na hayati Magufuli, alianzisha MAGENGE ya wafiraji kwaajili ya kuwakomoa watesi (mateka) wake wa kisiasa. Mwenyezi Mungu amuweke mahala panapo mstahili huko aliko
 
Ushoga uliasisiwa na hayati Magufuli, alianzisha MAGENGE ya wafiraji kwaajili ya kuwakomoa watesi (mateka) wake wa kisiasa. Mwenyezi Mungu amuweke mahala panapo mstahili huko aliko
Walikuwa wanashangilia watesi wao wakilawitiwa, wanasahau anayelawiti nae ni shoga.
 
Ndio maana watu wenye utambuzi tulitoa mawazo humu kwamba hakuna serikali inayoweza kumulika mikundu ya watu vyumbani.

Watu wazima wawili wakiingia chumbani huwezi kwenda kuchungulia kama wanafirana au laah!!

Kifungu namba 154 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 kimeonesha ubutu wa hali ya juu. Hakitekelezeki.

Huwezii kuidhibiti mikundu ya watu wazima waliokubaliana. Ukiwaandama, hata mtaraoni watafirana.

Tuweke polisi mitaroni? Tukizingumza huu ukweli mchungu, watu wenye mihemko wanatuvamia. Ooohh unasapoti ushoga!!!
Makosa mengi ya jinai hutendeka kwa kujificha au kwa usiri lakini bado serikali huwatafuta na kuwakamata na kuwafikisha mahakamani. Wezi wa pesa za serikali au ufujaji wa kodi ambao hufanywa na wafanyakazi wa TRA wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu pia huwa unafanyika kwa siri kubwa sana lakini bado serikali inafuatilia kwa njia mbalimbali mpaka inawatia nguvuni. Hivyo ushoga hauwezi kuhalalishwa eti kwa sababu tu uchunguzi wake ni mgumu ni wajibu wa serikali na wananchi kwa ujumla kupambana na ushetani huo ili kuweza kuukomesha ushetani huo kama ushetani mwingine wowote.
 
Mnaandama kwa ajili ya Nini ? Aya weken mpango kukagua Marinda ya watu nchi nzima na sio kuandamana wakati mkitoka apo mnajificha mwafukuana vinyesi
 
Wamesikia kamala Haris anakuja wakatafuta sababu ya chap wakaanza. This is typical hypocrate. Kwanini wasianze na mambo yanayogharimu hata maisha ya watu kila siku?
 
Wanashitakiwa wote labda interpretation yako tu mkuu imekaa vibaya. Pia nenda kasome court laws utaona wapo wengi tu walishashtakiwa na kifungu hicho miaka ya nyuma na wakafugwa hata kabla ya huru. Kufirana si ngono asili na adhabu yake ni kifungo cha maisha kama sikosei.
Sasa mkuu wewe unachanganya mambo mawili tofauti kabisa, kufira/na na mapenzi ya kishoga ni vitu viwili tofauti kabisa.

Nakubaliana na wewe kuwa hili kosa la kufira/na lipo na hadi leo watu wanahukumiwa na kufungwa kabisa, ila inabidi kufahamu kuwa hilo kosa la kufira/na sio kosa la ushoga sababu hata mwanamke anaweza kufirwa pia hivyo ilo kosa halifanyi kazi kabisa hapa Mkuu

Haya ni mambo mawili tofauti na ndio maana ukitafuta watu waliohukumiwa kwa kosa la ushoga Tabzania hautawapata kabisa yani hawapo.

Ila waliowahi kufira/na na wanaume au wanawake wapo na hadi leo kesi nyingi zipo Mahakamani. Ila hizo sio kesi za ushoga
 
Wamesikia kamala Haris anakuja wakatafuta sababu ya chap wakaanza. This is typical hypocrate. Kwanini wasianze na mambo yanayogharimu hata maisha ya watu kila siku?
Hizi kelele za ushoga ni PROPAGANDA MAHUSUSI

Nyuma ya hizi kelele kuna MKONO
 
Sasa mkuu wewe unachanganya mambo mawili tofauti kabisa, kufira/na na mapenzi ya kishoga ni vitu viwili tofauti kabisa.

Nakubaliana na wewe kuwa hili kosa la kufira/na lipo na hadi leo watu wanahukumiwa na kufungwa kabisa, ila inabidi kufahamu kuwa hilo kosa la kufira/na sio kosa la ushoga sababu hata mwanamke anaweza kufirwa pia hivyo ilo kosa halifanyi kazi kabisa hapa Mkuu

Haya ni mambo mawili tofauti na ndio maana ukitafuta watu waliohukumiwa kwa kosa la ushoga Tabzania hautawapata kabisa yani hawapo.

Ila waliowahi kufira/na na wanaume au wanawake wapo na hadi leo kesi nyingi zipo Mahakamani. Ila hizo sio kesi za ushoga
Mkuu nafikiri hapo ndipo niliposema tatizo ni interpretation tu. Ushoga ni noun na kufira au kufirwa ni kitendo ambacho kimekatazwa na sheria na makosa ya jinai yana deal na vitendo zaidi. Hivyo shoga akikamatwa anafirwa na mfiraji wote wanakosa ni kama mtoa na mpokea rushwa wote wanamakosa kwa mujibu wa sheria. Hakuna kosa la ushoga bali kitendo ndicho kinakatazwa na sheria.
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Tunaungana pamoja nao
 
Back
Top Bottom