1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Hapana jamii zote Duniani Kwa asili katika dini na Mila zao walikua wanakataa hayo mambo . Ndio maana hata dini zao yamekatazwa Kwa wazi kabisa.Mbona kama unajichanganya,hayo maadili ya mwafrika umeyapata kutoka kwenye dini za hao wazungu na waarabu,
Mila za mwafrika na dini za mwafrika hawakuwa wanaruhusu hata kuoa Mwanamke asiye bikra . Na pia mwanaume alifundishwa mbinu za kuishi na Mwanamke na kuwa baba wa familia . Hakauna jamii ya Kiafrika iliyokuwa inahamasisha vitendo vya kishoga japo tangu zamani walikuwepo wanaume waliokua wenye maumbo na hulka za kike. Walifundishwa uanaume wao zaidi na matokeo yake waishi kama wanaume na wakatambulika hivyo. Lakini pia Mila za baadhi ya makabila mtoto wa kiume anapokuwa na ulemavu wa kijinisia basi aliuawa mapema. Walikua Wana namna ya kumjaribu akiwa Bado mdogo. Kazi hiyo ilifanywa na akina mama wenyewe.
Kwa hiyo Kwa Mila za Kiafrika hata dalili TU ya ushoga ni jambo lisilovumiliwa.
Hawa wazungu mashetani wa Leo walioamua kugeuza makanisa yao kuwa night club na kuoa mpaka mama zao wazazi wasituletee upumbavu wao ambao hauna faida yoyote kwetu zaidi ya kuzalilishana TU .