Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Mbona kama unajichanganya,hayo maadili ya mwafrika umeyapata kutoka kwenye dini za hao wazungu na waarabu,
Hapana jamii zote Duniani Kwa asili katika dini na Mila zao walikua wanakataa hayo mambo . Ndio maana hata dini zao yamekatazwa Kwa wazi kabisa.

Mila za mwafrika na dini za mwafrika hawakuwa wanaruhusu hata kuoa Mwanamke asiye bikra . Na pia mwanaume alifundishwa mbinu za kuishi na Mwanamke na kuwa baba wa familia . Hakauna jamii ya Kiafrika iliyokuwa inahamasisha vitendo vya kishoga japo tangu zamani walikuwepo wanaume waliokua wenye maumbo na hulka za kike. Walifundishwa uanaume wao zaidi na matokeo yake waishi kama wanaume na wakatambulika hivyo. Lakini pia Mila za baadhi ya makabila mtoto wa kiume anapokuwa na ulemavu wa kijinisia basi aliuawa mapema. Walikua Wana namna ya kumjaribu akiwa Bado mdogo. Kazi hiyo ilifanywa na akina mama wenyewe.
Kwa hiyo Kwa Mila za Kiafrika hata dalili TU ya ushoga ni jambo lisilovumiliwa.

Hawa wazungu mashetani wa Leo walioamua kugeuza makanisa yao kuwa night club na kuoa mpaka mama zao wazazi wasituletee upumbavu wao ambao hauna faida yoyote kwetu zaidi ya kuzalilishana TU .
 
Ni kama kuna kitu ambacho hatukijui, nini tena kimefanya hivi vitu vya haramu kuvuma ?
 
Lakini mwanaume huyo huyo akijulikana kuwa ndiye chanzo Cha vitendo vya kuingiliwa wanaume wengine kinyume Cha maumbile panakua na ukakasi kutunga SHERIA Kali ya kuzuia au kupunguza matendo hayo?
Hii sio kweli, kumnajisi mtoto awe wa kiume au wa kike ni kosa kubwa sana hata kwa mabeberu.

Tatizo letu sisi Kila lawama kwa mabeberu ilihali sisi binafsi hatuna maadili. Nenda uswahilini huko nyimbo za singeli na mnanda sio za magharibi ila mambo ya kifedhuli yanafanyika in fact unakuta mpka mashoga wanakatika ila hakuna hatua inachukuliwa.

Alafu mtu anaenda kuandamana wakati hajaanza kunyoosha familia au mtaa wake. Matatizo yote yanaanzia ngazi ya familia sio kitaifa. Huwezi pinga ushoga ila unaruhusu vigodoro, nyimbo za singeli n.k
 
Hapana jamii zote Duniani Kwa asili katika dini na Mila zao walikua wanakataa hayo mambo . Ndio maana hata dini zao yamekatazwa Kwa wazi kabisa.

Mila za mwafrika na dini za mwafrika hawakuwa wanaruhusu hata kuoa Mwanamke asiye bikra . Na pia mwanaume alifundishwa mbinu za kuishi na Mwanamke na kuwa baba wa familia . Hakauna jamii ya Kiafrika iliyokuwa inahamasisha vitendo vya kishoga japo tangu zamani walikuwepo wanaume waliokua wenye maumbo na hulka za kike. Walifundishwa uanaume wao zaidi na matokeo yake waishi kama wanaume na wakatambulika hivyo. Lakini pia Mila za baadhi ya makabila mtoto wa kiume anapokuwa na ulemavu wa kijinisia basi aliuawa mapema. Walikua Wana namna ya kumjaribu akiwa Bado mdogo. Kazi hiyo ilifanywa na akina mama wenyewe.
Kwa hiyo Kwa Mila za Kiafrika hata dalili TU ya ushoga ni jambo lisilovumiliwa.

Hawa wazungu mashetani wa Leo walioamua kugeuza makanisa yao kuwa night club na kuoa mpaka mama zao wazazi wasituletee upumbavu wao ambao hauna faida yoyote kwetu zaidi ya kuzalilishana TU .

Nadhani hizi hoja zako zina mantik ila shida ni kwamba,huwezi zuia mafuriko kwa mikono,na hoja ya ushoga hakuna anayelazimishwa ila kinachotafutwa hapo ni ile uhuru na amani kwa washenzi waliioa amua kufanya ushezi wao kama vile wewe unavyofurahia uzinzi bila hofu yoyote.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hili taifa lina watu wengi sana wajinga.
Ushoga ndio limekuwa jambo la kuwafanya watu waandamane na kuwaweka busy??!
Umechukia kukemewa?
 
Kwani wewe ukijitangaza kuwa ni jambazi utahukumiwa kufungwa gerezani. ?
Umejitangaza lakini hukusema uliiba wapi na lini na hakuna mtu aliyeporwa au kufanyiwa vitendo vya kijambazi Haina maana yoyote kumtia mtu hatiani kisheria.

Ndio maana waafrika walipaswa wawe na SHERIA zao wenyewe baada ya uhuru na sio kukariri SHERIA za kihuni za Wakoloni na ukoloni wao ambao ni Ujambazi mkubwa.

SHERIA ikitungwa itapinguza hivi vitendo Kwa Sasa vinaenezwa badala ya kuenea vyenyewe Kwa mtu mmoja mmoja. Kwa sasa ni agenda kabisa ya kueneza vitendo vya kishoga na ushoga na usagaji. Sasa Kwa nini jamii ikae kimya wakati Kuna kakundi ka watu kanaeneza hayo mambo machafu Kwa nguvu kubwa na kuna ushawishi mkubwa nyuma yake kuanzia kwenye siasa mpaka mahakama. Nini faida ya kueneza haya maujinga. ?

SHERIA yoyote inatakiwa ianzie kwenye jamii ya walio wengi na ipime faida na hasara ya jambo lenyewe kwenye jamii. Nani anayependa hayo maushetani yafanyike Kwa ndugu yake au mtoto wake ? Jibu ni hakuna ! Kama Jibu ni hakuna basi ni jambo baya. Na jambo baya ni lazima pawe na SHERIA iliyoko wazi kabisa kukataa jambo baya kwenye jamii.
Hivi unafahamu kuwa Katiba ya nchi yako inawalinda hilo kundi Mkuu?, lakini katiba ya nchi yako hailindi majambazi. Elewa utofauti kwanza Mkuu.

Sheria haitungwi kwa kulinganisha vitu visivyokuwa na uhusiano ukifanya hivyo utatunga sheria za hovyo sana zisizoweza kufanya kazi yake.

Nakubali kabisa point muhimu ambayo haitakiwi kupuuzwa Mkuu, ishu ni inawekwaje hapo ndipo tofauti yetu ilipo
 
Wewe ndio unatakiwa ukakisome upya Mkuu, kinaongelea unnatural offence kama sijakosea, katulie ukisome vizuri zaidi.

Kwa haraka tu, hiyo inakava vitendo vya ngono visivyo asili na sio ushoga ndio maana mtu akinitangaza hauwezi mshitaki kwa icho kifungu, itabidi umkute analiwa ndio ukamshitaki sasa tena sio kwa ushoga bali kwa kufanya mapenzi kinyume na asili na hapo bado utamshiaki anayemla na sio anayeliwa.
Wanashitakiwa wote labda interpretation yako tu mkuu imekaa vibaya. Pia nenda kasome court laws utaona wapo wengi tu walishashtakiwa na kifungu hicho miaka ya nyuma na wakafugwa hata kabla ya huru. Kufirana si ngono asili na adhabu yake ni kifungo cha maisha kama sikosei.
 
Wasiwasahau pia kundi kubwa la wanawake linaloingia same group ingawa wameolewa na wanaume
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
ukiangalia kwa kufikiri vizuri utagundua kuwa sayari ya dunia ishapatwa na majanga makuu kabisa ya maangamizi ya kila kiumbe hai mara mbili.
mara zote hizi mbili sababu ilikuwa ni moja tu nayo ni moral act yaani maadili katika mahusiano ya kingono.
mara ya kwanza ni wakati wa Nuhu kipindi ambapo wana wa Mungu walipojitwalia wanawake kwa binti za wanadamu na mchafuko huu ukaleta kizazi cha manafeli duniani.
Mara ya pili ni katika wakati wa Lutu huko Sodoma na Gomora wakati wanaume walipoacha matumizi ya asili ya mwanamke na kupumuliana wao kwa wao na kuacha wanawake wakisagana.
kuna utabiri wa maangamizi ya mara ya tatu wakati Bwana Yesu akii rejelea tukio la gharika na la moto wa sodoma kwamba siku za kuja kwa mwana wa Adamu yaani kurudi kwake(mwisho) hali itakuwa ni kama ile ya wakati wa gharika na kama wakati wa sodoma.
Mambo haya ya uratibu wa huu ushoga yanaratibiwa kwa akili kubwa sana yakipata msaada mkubwa wa mahala pa juu palipoinuka pa utawala wa kisiasa na kidini.
Upande wa kisiasa linapigiwa chupuo na mkuu wa ofisi ya juu sana kutika nchi ile iliyo super power ya huko magharibi, na kwa upande wa dini linalainishwa na yule mkuu wa kidini aliyekalia ofisi ya pontiff.
sasa wale wanywaji wa dini kama kumeza joisi bila kupambanua kati ya kushika dini na kumcha Mungu watanasa hata bila hiari yao.
Na zile nchi zilizowekeza katika misaada na sii juhudi na kazi kwa nguvu zao wenyewe, watajikuta fundo la asali ya msaada liwapo vinywani mwao kabla hata hawajameza vijana wao wa kiume wanaamini chini ya falsafa ya bwabwa na binti zao tayari ni punga.
Nchi za Afrika amkeni simameni kiume na wanawake zenu wajifunge mkanda viunoni wajitegemeze kusimama imara.
Hakunaga kitu cha bure, shetani hajawahi kuwa na uungwana wa kutoa zawadi/msaada usiolipiwa gharama ya kafara ya majuto na kusaga meno kwa mzawadiwa.
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
kosa kubwa mnataka kufanya kila mnaloliona kweny Tv
 
HUU NI UNAFIQ NA UJINGA TU. KUKOSA KAZI. MASHOGA WAPO KILA SIKU TUPO NAO MITAANI NA WENGINE NI NDUGU LAKINI HAMNA ANAEWAFANYA LOLOTE. ETI LEO MNAANDAMANA ILI? ANAEFIRA NA ANAEFIRWA WOTE NI MASHOGA. HAWA WATU WAPO WENGI, TANGU ENZI NA ENZI, NI KUPOTEZA MUDA TU. TUUKATAE KWA AKILI SIO MAKELELE. KUNA WATU WANAWAFIRA WANAUME WENZAO WAKIWAFUMANIA, HIZO HISIA HUWA WANATOA WAPI? USHOGA NI JAMBO COMPLEX, MNAVOZIDI KULIONGELEA LITAZOELEKA MASKIONI NA MWISHO LITAKUWA KAWAIDA TU. NI SUALA LA MUDA. MAJITU YANAONEKANA YANA NJAA KALI, MAISHA YAMEWAPIGA NDIO WAKAONA KIPAUMBELE NI USHOGA.
Hawajielewi.
 
Unasemaje vile? Aise! Mi niko tofauti na baadhi ya sera za uongozi wa ccm lakini linapokuja suala la ushoga niko tayari kuanza na kukaripia kwa nguvu zote ushoga ndipo mengine yaendelee.

Hapa usiendelee kabisa vinginevyo utakuwa upande huo.
utawala mbovu ndio chanzo cha haya yote , mashoga wengi wanatokana na kutaka mafanikio ya haraka baada kuona hana plan B , iboreshwe elimu kuna vingi vya enz za mwl tumeviacha ila ndo vimeinyanyua China , elimu kwa vitendo pia somo la stadi za kaz lilikuwa muhimu na mkomboz wa wengi leo mtoto wa moro anamaliza Std 7 hajui kilimo wkt anatokea kweny jamii ya wakulima , enz za mwl baadhi ya taaluma zilikaziwa kulingana na location ya shule Ilipo kanda za uvuvi zilifundishwa na kufanya ufugaji pia kwa nguvu kaz ya wanafunz pia sehem za kilimo walikuwa na mashamba ya shule na nguv kaz ilikuwa wanafunz hii ilimsaidia mtu kuya master mazingira yake mama na kuhofia kuja mjini maana hana taaluma ya kumuweka mjini ila hizi taaluma zilipotezewa na kujiita kizaz cha kisasa hivyo watoto wakawa wanamaliza shule hawana msingi wowote wa kujihusisha kwenye jamii zao wakawa wanakuja mjini wanakuwa chakula ya wahuni maana weng hawakuwa na pa kulala na waliokuwa na pa kulala walipigwa mashine na maboss zao , Ushoga ulianzia na unaendelea kweny hii namna , yupo mwamba anatokea mkoa x sasa hv ana ela kinyama anakuja dar mwaka 2007 akawa anafanya kaz kwa wachina baadae wakawa wanamgeuza wanampa ela jamaaa sasa hv anajenga migorofa kwao huko
 
Ushahidi wake kuupata ni mgumu sana kwa sababu wanafanya kwa siri sana ila wakikamatwa wote wanashitakiwa yaani shoga na huyo mume wake!
Ndio maana watu wenye utambuzi tulitoa mawazo humu kwamba hakuna serikali inayoweza kumulika mikundu ya watu vyumbani.

Watu wazima wawili wakiingia chumbani huwezi kwenda kuchungulia kama wanafirana au laah!!

Kifungu namba 154 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 kimeonesha ubutu wa hali ya juu. Hakitekelezeki.

Huwezii kuidhibiti mikundu ya watu wazima waliokubaliana. Ukiwaandama, hata mtaraoni watafirana.

Tuweke polisi mitaroni? Tukizingumza huu ukweli mchungu, watu wenye mihemko wanatuvamia. Ooohh unasapoti ushoga!!!
 
Wanashitakiwa wote labda interpretation yako tu mkuu imekaa vibaya. Pia nenda kasome court laws utaona wapo wengi tu walishashtakiwa na kifungu hicho miaka ya nyuma na wakafugwa hata kabla ya huru. Kufirana si ngono asili na adhabu yake ni kifungo cha maisha kama sikosei.
Sijawahi kuona shoga amefungwa kwa kosa la ushoga.

Ni niko karibu na court records kwa muda mwingi.
 
Back
Top Bottom