Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Umeandika vizuri ila hapo kwa kumlisha Papa maneno ya uongo au kutokuelewa kuhusu ukatoliki pana shida. Hiyo link itakusaidia.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ChAWegQICRAB&usg=AOvVaw3MLkus6oDoSQ82YYs-MOyI
Alafu, huku pia ni kukosa akili. Wanaacha kuandamania gharama za maisha, uvunjwaji wa haki nk.
 
Laana ni nini ? , Mungu gani ?


Wewe endelea na hiyo "shughuli" yako pendwa ndipo utamjua Mungu ni nani na laana ni kitu gani.

Mara nyingi nyinyi huwa mnatambulika kirahisi sana hata na mtu mwenye upeo mdogo wa akili.
 
Kafirwe mbwa ww
Halafu mara nyingi wanaopinga ushoga ni mashoga.

Ripoti zinasema wapingaji ushoga walishawahi kufirwa au kufira katika kipindi fulani cha maisha yao.

Na imebainika kuwa watu hawa walipasuliwa puru, jambo ambalo huwa linawapa ghadhabu kali dhidi ya ushoga!
 
Watanzania wameona heri wapinge ushoga kuliko kupinga ugumu wa maisha na kodi
Ndio matokeo ya kula ugali kupitiliza wenzetu wanaona kwenye changamoto ni sehemu ya fursa kupambana na ugumu wa maisha sisi tunaona mashoga ndio chanzo cha ugumu wa maisha
 
HUU NI UNAFIQ NA UJINGA TU. KUKOSA KAZI. MASHOGA WAPO KILA SIKU TUPO NAO MITAANI NA WENGINE NI NDUGU LAKINI HAMNA ANAEWAFANYA LOLOTE. ETI LEO MNAANDAMANA ILI? ANAEFIRA NA ANAEFIRWA WOTE NI MASHOGA. HAWA WATU WAPO WENGI, TANGU ENZI NA ENZI, NI KUPOTEZA MUDA TU. TUUKATAE KWA AKILI SIO MAKELELE. KUNA WATU WANAWAFIRA WANAUME WENZAO WAKIWAFUMANIA, HIZO HISIA HUWA WANATOA WAPI? USHOGA NI JAMBO COMPLEX, MNAVOZIDI KULIONGELEA LITAZOELEKA MASKIONI NA MWISHO LITAKUWA KAWAIDA TU. NI SUALA LA MUDA. MAJITU YANAONEKANA YANA NJAA KALI, MAISHA YAMEWAPIGA NDIO WAKAONA KIPAUMBELE NI USHOGA.
 
Wewe endelea na hiyo "shughuli" yako pendwa ndipo utamjua Mungu ni nani na laana ni kitu gani.

Mara nyingi nyinyi huwa mnatambulika kirahisi sana hata na mtu mwenye upeo mdogo wa akili.
Hakuna faida ya mtu kuwa mjinga.
 
Hiyo ni mikwara ya mbu nje ya neti.....arusha ndo mkoa unaokuja kwa kasi kwenye mambo ya upinde
 
Vipi kuhusu kumbaka mtoto ?
Jiulize Kwa Nini kumbaka mtoto wa kike Tena saa nyingine sio mtoto Bali ni mdada aliyevunja ungo miaka zaidi ya 17 lakini mwanafunzi SHERIA yake ni Kali sana Kwa Wanaume.
Na imelazimishwa na Wazungu kuwa SHERIA Kali na misaada kutolewa . Hapo hakuna Cha faragha Wala Nini ni Mwendo wa kifungo Cha maisha TU.
Lakini mwanaume huyo huyo akijulikana kuwa ndiye chanzo Cha vitendo vya kuingiliwa wanaume wengine kinyume Cha maumbile panakua na ukakasi kutunga SHERIA Kali ya kuzuia au kupunguza matendo hayo?

Ni kwamba wazungu wanatamani kuona Dunia inakua chini yao huku ikiwa kama Kijiji na wao kujitwalia utajiri wa Dunia ili waendelee kuishi maisha ya starehe na kutawala uchumi wa Dunia kupitia mawakala wao amabo ni baadhi ya viongozi wetu wenyewe.Hivyo hawataki wanaume au Wanawake jasiri wanaoweza kupigania nchi zao Kwa nguvu zote. Hata Kwa kujitoa mhanga . Wanataka Wanawake na Wanaume wenye tamaa ya fedha TU na anasa. Ndio maana Dunia inahamasishwa kupenda ngono ,usagaji,ushoga ,ulevi ,uchawi na Imani za kishetani Kwa ahadi za kupata Fedha za starehe.
 
Wewe ndio unatakiwa ukakisome upya Mkuu, kinaongelea unnatural offence kama sijakosea, katulie ukisome vizuri zaidi.

Kwa haraka tu, hiyo inakava vitendo vya ngono visivyo asili na sio ushoga ndio maana mtu akinitangaza hauwezi mshitaki kwa icho kifungu, itabidi umkute analiwa ndio ukamshitaki sasa tena sio kwa ushoga bali kwa kufanya mapenzi kinyume na asili na hapo bado utamshiaki anayemla na sio anayeliwa.
Kwani wewe ukijitangaza kuwa ni jambazi utahukumiwa kufungwa gerezani. ?
Umejitangaza lakini hukusema uliiba wapi na lini na hakuna mtu aliyeporwa au kufanyiwa vitendo vya kijambazi Haina maana yoyote kumtia mtu hatiani kisheria.

Ndio maana waafrika walipaswa wawe na SHERIA zao wenyewe baada ya uhuru na sio kukariri SHERIA za kihuni za Wakoloni na ukoloni wao ambao ni Ujambazi mkubwa.

SHERIA ikitungwa itapinguza hivi vitendo Kwa Sasa vinaenezwa badala ya kuenea vyenyewe Kwa mtu mmoja mmoja. Kwa sasa ni agenda kabisa ya kueneza vitendo vya kishoga na ushoga na usagaji. Sasa Kwa nini jamii ikae kimya wakati Kuna kakundi ka watu kanaeneza hayo mambo machafu Kwa nguvu kubwa na kuna ushawishi mkubwa nyuma yake kuanzia kwenye siasa mpaka mahakama. Nini faida ya kueneza haya maujinga. ?

SHERIA yoyote inatakiwa ianzie kwenye jamii ya walio wengi na ipime faida na hasara ya jambo lenyewe kwenye jamii. Nani anayependa hayo maushetani yafanyike Kwa ndugu yake au mtoto wake ? Jibu ni hakuna ! Kama Jibu ni hakuna basi ni jambo baya. Na jambo baya ni lazima pawe na SHERIA iliyoko wazi kabisa kukataa jambo baya kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom