Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

Tumeridhika na utumwa na ufisadi wa CCM ila ushoga tumekuwa wepesi kuu pigia kelele na kuu kataa.

Aisee hili taifa.

Ni bora utumwa na ufisadi wa CCM kuliko laana na uchafu wa ushoga. Laana inatoka kwa Mungu.
 
Unguja na pemba wanaongoza kwa hivi vitendo maandamano hakuna.
 
Taifa likiwa na laana linakuaje?
Ni mfano wa mataifa gani unaweza kusema yana laana kutoka kwa Mungu?
Ni bora utumwa na ufisadi wa CCM kuliko laana na uchafu wa ushoga. Laana inatoka kwa Mungu.
 
binafsi naona km dunia kwa ujumla haijatakaga kupiga vita hili suala hata kdg isipokua wanaliendeleza kwa hatua ndog ndog mpk apo baadae litakuja kuchukuliwa n suala la kawida tu..

sitaki kuamin kwmba tatizo n ushoga km ambvyo dunia inapga vita na kulikemea hilo suala, ila naamin kwmb ttzo linaanzia kwa wale wafiraji ama wanaopenda penda ngono kwa mlango wa jirani..

yani haiwezekan et tupige vita watu mashoga wakat wale wapenda kufira wamekaa tuli wakituangalia tulivyo wapuuzi kwa tunavyoliendea hili suala,

hv ulishawah kujiuliza kwamb mashoga hapo awali labda hawakuepo lkn hawa wafiraj walianza either kwa kuwaingilia wake zao ama mademu zao na hivyo kadri mda ilivyozid kwenda wakahamishia kwa wale wa jinsia pacha, na hata ikifika hatua mashoga watanyongwa wote lkn wafiraj wataanza kuchokoza chimbuko lao la awali na hatimae tutarudi hapahapa..
 
Taifa likiwa na laana linakuaje?
Ni mfano wa mataifa gani unaweza kusema yana laana kutoka kwa Mungu?
Hawezi kujibu hilo swali,ndio mana nasema hii vita watu wanapambana kihisia,au kwa kifupi hawajui wanachokipania
 
binafsi naona km dunia kwa ujumla haijatakaga kupiga vita hili suala hata kdg isipokua wanaliendeleza kwa hatua ndog ndog mpk apo baadae litakuja kuchukuliwa n suala la kawida tu..

sitaki kuamin kwmba tatizo n ushoga km ambvyo dunia inapga vita na kulikemea hilo suala, ila naamin kwmb ttzo linaanzia kwa wale wafiraji ama wanaopenda penda ngono kwa mlango wa jirani..

yani haiwezekan et tupige vita watu mashoga wakat wale wapenda kufira wamekaa tuli wakituangalia tulivyo wapuuzi kwa tunavyoliendea hili suala,

hv ulishawah kujiuliza kwamb mashoga hapo awali labda hawakuepo lkn hawa wafiraj walianza either kwa kuwaingilia wake zao ama mademu zao na hivyo kadri mda ilivyozid kwenda wakahamishia kwa wale wa jinsia pacha, na hata ikifika hatua mashoga watanyongwa wote lkn wafiraj wataanza kuchokoza chimbuko lao la awali na hatimae tutarudi hapahapa..
Huu ndio ukweli
 
Kwani familia yako na marafiki zako wa karibu wakibaki peke yao wanaoujua upumbavu wako utapungukiwa nini? Nashangaa unavyolazimisha dunia nzima ijue kuwa wewe ni mpumbavu.
Ulikuwa una jibu swali au umechanganya mtu wa kumquote?
 
Hapa maana yake watu wanataka itungwe SHERIA kalia kukomesha wanaume kufundishwa ushoga na ubasha.

Hakuna mtu anayezaliwa akiwa shoga au basha. Ni matendo machafu ya kuiga au kufanyiwa Kwa kudanganywa au ni mambo ya mila za hovyo za Wazungu kama zilivyo Mila za kukeketa Wanawake. Ni vitendo vinavyoweza kukomeshwa au kupunguzwa . .Hivyo ni lazima itungwe SHERIA Kali ya kuzuia vittendo hivyo vichafu wasifundishwe watoto Kwa kurubuniwa.

Serikali haiwezi kuwaachia viongozi wa dini kazi ya kupambana na vitendo vya ushoga au usagaji mana Kwa Mujibu wa dini zote hayo ni matendo ambaya adhabu yake ni kuuawa.

Kwa Hali ya kidini mashoga wakikutwa wanafanya vitendo hivyo wanapaswa kuuawa bila huruma.

Afrika inapaswa kukataa hizi Mila potofu za Kizungu kwani ni Mila zinazoharibu kusudi la Mungu kuwaumba wanadamu ili wazaane.

Mtu akifuga majogoo tupu au mitetea tupu hawezi kamwe kuwa na ongezeko la kuku au hata kupata mayai

Mbona kama unajichanganya,hayo maadili ya mwafrika umeyapata kutoka kwenye dini za hao wazungu na waarabu,
 
binafsi naona km dunia kwa ujumla haijatakaga kupiga vita hili suala hata kdg isipokua wanaliendeleza kwa hatua ndog ndog mpk apo baadae litakuja kuchukuliwa n suala la kawida tu..

sitaki kuamin kwmba tatizo n ushoga km ambvyo dunia inapga vita na kulikemea hilo suala, ila naamin kwmb ttzo linaanzia kwa wale wafiraji ama wanaopenda penda ngono kwa mlango wa jirani..

yani haiwezekan et tupige vita watu mashoga wakat wale wapenda kufira wamekaa tuli wakituangalia tulivyo wapuuzi kwa tunavyoliendea hili suala,

hv ulishawah kujiuliza kwamb mashoga hapo awali labda hawakuepo lkn hawa wafiraj walianza either kwa kuwaingilia wake zao ama mademu zao na hivyo kadri mda ilivyozid kwenda wakahamishia kwa wale wa jinsia pacha, na hata ikifika hatua mashoga watanyongwa wote lkn wafiraj wataanza kuchokoza chimbuko lao la awali na hatimae tutarudi hapahapa..
Your argument is so scientific,.
Ni kweli kabisa,chanzo ni watu kupenda kufanya kinyume na maumbile.
 
JF inashindwa zuia wa ndoa za jinsia moja sababu watanyimwa misaada
 
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.

Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.

Tuliona presha nchi ya Qatar iliyopigwa wakati wa kombe la dunia.

Tukashuhudia vitabu vinavyofundisha mambo hayo vikisambazwa ktk shule za watoto.

Tumeshihudia shule fulani ambayo watoto wanafundishwa kufanyana kinyume cha maumbile.

Huko Kenya mahakama ya juu ikaruhusu uanzishwaji wa NGOs za kutetea ushoga ktk nchi hiyo.

Na kuna baadhi ya madhehebu ya dini duniani yameanza kurasimisha ndoa za jinsia moja na kuna Mengine yamebaki na msimamo uleule wa toka zamani wa kukataa mambo hayo machafu.

Kwa mfano hapa Tanzania Kanisa la Anglican la Tanzania limekataa katakata kukubaliana na kanisa la Anglican la Uingereza kuruhusu ndoa za mashoga. Katika barua ambayo uongozi wa kanisa la Anglican la Tanzania limeliandikia kanisa mama la Anglican la uingereza, Limegoma kabisa kukubaliana na msimamo wa kanisa hilo la Uingereza kuhusu kuruhusu ubarikio wa ndoa hizo.

Kwa bahati mbaya pia, kanisa la Kikatoliki huko Ujerumani limepiga kura kuruhusu ubarikio wa ndoa za Jinsia moja kuanzia mwaka 2026. Hii inafuatia kauli ya Papa ya kuwatakia "Rehema( Grace)" watu wote hata wale wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hapa chini ni video ya wananchi huko Arusha kuandamana kupinga mambo ya ushoga.

View attachment 2547164

View attachment 2547165
Jambo lolote ukilipigia kelele ndiyo kadri linavyosambaa!!! Vijana wengi wapenda kujaribu wataingia kwa kasi kuona kwa nini ushoga unapigiwa kelele!! Amini msiamini kadri tunavyopiga kelele ndivyo Jambo linavyoshika kasi.
 
Nilikula naitizama Mpira maeneo hayo likanyanyuka na kuanzia kukatika huku likiongea upupu ajabu watu hawakushituka kabisa,mwenyeji mmoja ndio akanieleza
Kumbe mashoga mnaishi nayo huko mtaani halafu mnakuja kutusumbua mtandaonii!

Kwanini msiwashughulikie huko huko maana nilisikia mna kikosi cha kufanya mauaji?

Chukua pisto umtandike risasi halafu karipoti kwa OCD upewe tuzo ya ushujaa.
 
Back
Top Bottom