ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Ila pesa zao mnatumia kununulia condom na chandarua nila aibu!! Alaf unasema sio photocopy au Tanzania ni chanel ya katuni huko duniani!! Anyway naona Heche na wenzie hawakamatwi toka Bunge la ulaya litoe onyo kwa genge la bimkora!!Marekani na Uingereza sio Tanzania
Tanzania sio photocopy ya uingereza wala marekani ndio maana hata majina ya nchi zetu yako tofauti wao wanaitwa uingereza na marekani sisi tunaitwa Tanzania
Ni kweli dada yangu bora umeona hilo tatizo la kichwa.JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
ccm bila Polisiccm ni weupe sanaMarekani na Uingereza sio Tanzania
Tanzania sio photocopy ya uingereza wala marekani ndio maana hata majina ya nchi zetu yako tofauti wao wanaitwa uingereza na marekani sisi tunaitwa Tanzania
ccm wengi wanapenda haki lakini hawana pa kusemeae
Tanzania kuna mabilionea wakina Mo zdewji na Bakheresa nk wewe kalia kulia lia utakufa maskiniPesa haitafutwi kwenye mazingira ya uonevu manyanyaso na mateso ya Polisiccm na wewe kichaa mvuta bangi, pesa inatafutwa pasipo na vitendo haramu vya kishetani kama vya Polisiccm
Kada wa CHADEMA aliyevaa nguo za CCMccm wengi wanapenda haki lakini hawana pa kusemeae
Tiba na dawa ya unyama ushetani wenu ni kuwalaani wote msomewe Alibadiri nyingi mpaka mjutie manyanyaso yenuKada wa CHADEMA aliyevaa nguo za CCM
Hapa kwa Mara hata Mimi imebidi nicheke kwanza😄😄😄😄Na no reform inaelekea Mara😀😀😀😀😀
Haya yalitabiriwa. Sijui kwa nini ninaamini unabii unaenda kutimia
Wewe ni Mavi ya nyoka.Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Kama umesikiliza vizuri ungesikia sauti ikisema "walitaka wamkamate!", sasa wewe umeudhika nini, bra kaa kimya kama Paskali Mayala subiri akikamatwa uje hapa.JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
Tuondolee ujinga wakoMkutano wa amani ni pamoja na hotuba.za amani sio uchochezi
Vinginevyo unashushwa kwenye jukwaa na kuonyeshwa cha mtema kuni
Amani ni hadi jukwaani kwa wahutubiaji.Sio kwa wasikilizaji waliotulia tuli tu
Unamchapa mtu mwenye bunduki na risasi za moto na mabomuPolisiccm wakianza kupewa kichapo na wananchi akili zitarudi,
Lugha iliyotumiwa na mleta uzi mwanzoni haikuwa rafikiKama umesikiliza vizuri ungesikia sauti ikisema "walitaka wamkamate!", sasa wewe umeudhika nini, bra kaa kimya kama Paskali Mayala subiri akikamatwa uje hapa.