Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

Polisi hawakuwa na nia ya kumkamata wasingeshindwa.
Hata hivyo kama hiyo nia wanayo wangemwita tu kwa utaratibu wa kipolisi.

Heche ni Kiongozi mkubwa hana pakukimbilia.
Hawanaga mamb ya kumuita kiongoz wa CDM kwa utaratibu, hawana huo utaratibu!!
 
Majambazi yanayovaa uniform katika ushenzi wao uliotukuka.
 
Polisi hawakuwa na nia ya kumkamata wasingeshindwa.
Hata hivyo kama hiyo nia wanayo wangemwita tu kwa utaratibu wa kipolisi.

Heche ni Kiongozi mkubwa hana pakukimbilia.
Hata Lissu walimuita tu polisi!
 
YAANI UKIONA WANA NRNE WANAVYOPOST VITU MTANDAONI UNAWEZA DHANI SASA TANZANIA IPO LIBYA, UKIJA KIUHALISIA DAAH HAKUNA UKWELI WOWOTE..
HZ PROPAGANDA MZIACHE, UNADHANI PT IKIMUHITAJ HUYO WATANZOO MTAFANYA NINI? MTASIKIA TU YUPO KITUONI ANAHOJIWA..KWANI HADI SASA WANANCHI WAKO NAYE?
ACHEN KUWEKA MABANDIKO YA PROPAGANDA NA KUTAKA KUJIKUZA!
 
Mwanza pamoto mbeya Cha mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…