GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
A
Inafurahisha sana. Masikini wanashangilia anguko la tajiri ambae ataendelea kula kuku kwa mrija huku wao wakiendelea kushindia mihogo na kumnufaisha huyo tajiri mwingine atakae kuja.

Kosa yote ila usikose AKILI
Akili ni mali!
 
Mkuu,

Tutahakikishaje video imechukuliwa kufuatia January kukatwa, na si video tofauti tu?

Halafu ungekuwa wewe mg'ombe unachinjwa kwa ukatili na makelele yote hayo, na madubwana yaliyo tofauti na wewe hamueleeani ligha, yamekuzidi akili, ungejisikiaje?
 
Balance taarifa kwa kuongea na mtu aliyepo bumbuli boss
Leo tumekula mboga (nyama). Kwetu mboga ni nyama tu zingine zunaitwa kwa majina halisi mfano maharagwe, mchicha, samaki n. k.
Ukisikia neno mboga ni synonym ya nyama
 
Hakika hii si tu sherehe

Hii ni zaidi ya alarm kwa yule atakae kwenda kuvaa viatu vyake

Kama kweli wamemkata jina kwa nia ya dhati

Baasi CCM wakampe kipaumbele bajeti zake mbunge atakaepita ili kutatau walau kidogo changamoto za wana_BUMBULI...
Bumbuli kipindi cha mvua ni zaidi ya neno mateso. Wakimpelekea Barbara tu Mambo yatakuwa sawa
Wasambaa hawana makuu
 
Kiluwa alifanyiwa Fujo Sana wakati wa kuchukua form. Yani nkondo ni nkondo Hadi huruma. Ndo maana Leo wagosi wa milimani wana furaha
Unaonekana una deep infos, ww ni mtu wa bumbuli mrembo ? 😊
 
Bumbuli kipindi cha mvua ni zaidi ya neno mateso. Wakimpelekea Barbara tu Mambo yatakuwa sawa
Wasambaa hawana makuu
Mungu awajaalie wapate mtu ambae atawawakilisha mpaka pale waliposahau
 
Hiyo mbona kafara.. ng'ombe Ina KIFADURO..
 
Kuna watu hua wanawalaumu wazungu kwa ubaguzi na roho mbaya, ila Mimi naamini mtu mweusi afu maskini ni mtu namba moja mwenye chuki, wivu, husda, roho mbaya, uchoyo na mbaguzi sana. Kuna jamaa aliwahi kuleta uzi humu kua mtu maskini sio wa kumhurumia watu walimmind sana ila alikua sahihi 300%. Mimi sio mwanasiasa, sio shabiki wa siasa na sipendi siasa hasa ya Africa maana inatumika ovyo sana kuharibu maisha ya watu na uchumi wa nchi zetu. Tukirudi kwa hao jamaa wanaotoka Jimbo la huyo Makamba hicho walichofanya ni sifa namba moja ya mtu maskini na mweusi, kufrahia anguko la aliemzidi kila kitu. Kuna viongozi mafisadi kibao nchini mwetu ambao wanatakiwa kua jela na sio kufrahia huyo jamaa jina lake kutopita. Hao wapuuzi kesho wakishashiba iyo supu wanaendelea na maisha yao ya dhiki na kuendelea kujifariji na hata siku moja hawatafikia maisha ya huyo aloanguka ubunge. Ni ngumu sana nchi yenye viumbe wenye akili za namna hii kupata maendeleo. Tuna sehemu nyingi sana za kuchallenge kuhusu siasa mbovu za nchi yetu, sera mbovu za kiuchumi, ubovu wa sheria zetu, ukosefu wa utawala bora na mambo mengine kibao, leo hii mtu anachinja ng'ombe kwasababu tu kiongozi anaemchukia amekufa ama amepoteza nafasi yake ya uongozi..Pathetic!!!!
 
Huko kuna watu wajinga,malofa tu
Wao wanaona wamemkomoa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…