JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwakweli ni jambo jema🤣🤣Kuna ubaya kusalimiana wakati wa amani?
Ndiyo faida za songesha na halichachiJeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi wengine wenye matukio ya moto kushindwa kupata msaada.
Sema wananchi wa Kanda ya ziwa uwezo wao wakufikiri sio mkubwa sanaDah hii nchi Kwa comedy hatuna mshindani
Mmeambiwa muende pale ofisini mkawape hiKuna ubaya kusalimiana wakati wa amani?
SIyo jambo baya, wanawasilimia askari wao ili kujua wanaendeleaje. Pia inaonyesha Zimamoto wamefanikiwa sana kufanya enhagement na jamiiNdo wapiga Kura na wanaotaka katiba mpya
Umeambiwa wanasababisha simu za kutoa matukio ya moto kuchelewa, wewe unapiga uripoti tukio la moto mwenzio kawahi line anampa hi potiSIyo jambo baya, wanawasilimia askari wao ili kujua wanaendeleaje. Pia inaonyesha Zimamoto wamefanikiwa sana kufanya enhagement na jamii
Waongeze lune, wananchi wanawapenda askari waoUmeambiwa wanasababisha simu za kutoa matukio ya moto kuchelewa, wewe unapiga uripoti tukio la moto mwenzio kawahi line anampa hi poti