Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

Za saizi nkoi? Mnaendeleaje hapo?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Muwaite muwape kazi ya kuchota maji ya akiba,wataambia na wenzao baada hapo kwamba,zimamoto sio salamu show!
 
Hata kwenye radio wanapiga Sana simu.
Mwingine anapiga simu kumpa salami mke wake ambaye yupo Naye hapo hapo nyumbani.
Wengi wanatokea Ngudu Kwimba na Katoto Geita!!
 
... kuna uzi humu unadai sisi wananchi wa maeneo hayo ndio binadamu wenye IQ nyingi zaidi Tanzania! Do we need more proof than this post to prove that we are the most talented creatures in this country? Absolutely no!

Huu hapa by ye34nbe : Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani πŸ€”
 
... kuna uzi humu unadai sisi wananchi wa maeneo hayo ndio binadamu wenye IQ nyingi zaidi Tanzania! Do we need more proof than this post to prove that we are the most talented creatures in this country? Absolutely no!
Kwa hio kupiga simu zimamoto huku hamna Moto unaowaka ndio mnakua talented au mnakua mazuzu mixa mazwazwa ?
 
Kwa hio kupiga simu zimamoto huku hamna Moto unaowaka ndio mnakua talented au mnakua mazuzu mixa mazwazwa ?
 
hao ni wasukuma unashangaa nini, tena ya bure? watakoma
 
Haya kula chuma hicho

Mazuzu akili fupi
 
Hua wanawafuata mashuleni kuwapa elimu ya kuzima Moto wanafunzi pamoja na namba za Mawasiliano sasa watoto wakifika Nyumbani wanaanzisha UTOTO wa kuwapigia simu, wanaopiga ni watoto wale wale wanaofundishwa elimu ya kuzima Moto
Yap
Nakumbuka tukiwa wadogo simu za mezani tumepiga sana 999 namba za polisi
Hao wa geita nao wakikuwa wataacha πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…