Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

Kuna don mmoja alitaka kujenga kiwango cha lami barabara ya mtaani kwake, ili ndinga zake zisiguse tope kuanzia anatoka kwake mpaka anafika ofisini kwake, ila mamlaka ya pale ikamletea mtima nyongo. Inataka fedha ipitie kwao kisha wao ndio wajenge. 😂
 
Uki round up milioni 40 kwa wakazi 100 ni laki 4 kila mmoja.
 
Goba tunaishi watu wa kaskazini wengi na wengi humu wapo vizuri financially utapalinganisha vp na huko uswahilini?
 
Spirit ya Moshi hiyo. Sasa hiv kuna mahali tunajenga daraja kubwa sana wenyewe.
 
Ni upumbavu kuchanga pesa wakati Serikali imekopa pesa kwa ajili hiyo hiyo.

Ujanja ni kusimama kidete na kuhoji pesa zilizotolewa na WB Kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nini la Dar?
ccmu ishaferi ,ukisubir utaoga kwenye madimbwi
 
Kiongozi wa kukusanya michango tutafuatilia taarifa zake TRA 😡😡, 2025 tutakuja na hoja gani sasa 😡😡😡🚮🚮
 
Ili Barabara ikae miaka na miaka ikisubiri uchambuzi yakanifu.
Hao wakimaliza hiyo Barabara ni mwanzo wa State yao.Hakuna kima atapita huko kuongea ujinga.
Na kama wameanza na hilo juu watafanya makubwa kwa huo mtaa.

Sio dalili njema hizo.
Wakimaliza barabara watazungushia ukuta mtaa wao mara wamejijengea hospitali etc
 
Sisi tumekuwa tukichangia na kujenga barabara za kijijini kwetu kwa mamilioni mengi japo huwa hatuweki bango. Hawa wenzetu wa Goba wametufungua sababu nahisi tunapojenga wengine wanachukua credit
 
Hizi Barabara za mtaani ni changamoto mno. Hongereni watu wa goba kwa kujenga Barabara yenu.

Inatakiwa iwe mbinu ya nchi nzima. Wenye magrader na roller na wenye utaalam wa kujenga Barabara za mtaani hata za changarawe, mchangamkie fursa hiyo.


Wazo la bango ni zuri. Wangeweka na account ya kuchangia au hata lipa namba ya ujenzi kabisa, kwenye bango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…