The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
- Thread starter
-
- #61
Safi! Nadhani tukifanya hivyo itaonesha ni namna gani tunachoka ahadi zao wasizotekeleza.Sisi tumekuwa tukichangia na kujenga barabara za kijijini kwetu kwa mamilioni mengi japo huwa hatuweki bango. Hawa wenzetu wa Goba wametufungua sababu nahisi tunapojenga wengine wanachukua credit
Ni kweli kabisa ila ipo siku tutatumia njia moja kuamuaHahaha! Umeweza kutumia akili yako vyema kubaini hili hongera kubwa sana.
Waswahili huwa hamna tabia ya kujenga nchi wenyewe bali kila kitu mnasubiri Serikali. Hawa wa Goba wameona miradi haiendi au wamesubiri sana na labda hela zimeishapigwa.
Hongera kwao hata mimi kuna siku niliona Mashimo mbele ya nyumba na halmashauri hawana Habari
Niliyafukia kwa hela zangu.
Kuna wakati kujitolea kwa faida ya wengi ni vizuri wala sio kosa kisa tu eti ni kazi ya serikali. Kwa hiyo mpaka watu wafe?
Tena mjufunze kuwa na Charities nyingi. Kuna nchi matajiri lakini wana Charities tunazochangia kwa kupata maendeleo au hata utafiti wa madawa
Big up kwao
SahihiNi upumbavu kuchanga pesa wakati Serikali imekopa pesa kwa ajili hiyo hiyo.
Ujanja ni kusimama kidete na kuhoji pesa zilizotolewa na WB Kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nini la Dar?
Hapana, serikali inayokusanya kodi mojawapo ya kazi zake za msingi ni kujenga barabara.NI mfano mzuri wa kuigwa kwenye mitaa mingine mingi tu
Serikali kama bado inakusanya kodi haijawatelekeza.Tumeamua tuchange maana serikali imetutelekeza.Na tumekubaliana tukimaliza Barabara tutaanza kuchimba visima vya maji na tunamalizia ujenzi wa hospitali Kwa kuchangishana.Tumechoka kusubiri serikali maana Hela zote wananunua v8 za milioni 500 moja
Hii spirit nimeipenda mno! Inaweza kuwa chachu ya mambo mengine mengi tunayosubiri serkali. Hadi serkali ione aibu!
inauma sana nchi ina watu wana pesa lakin ka choo kameandikwa ..kwa hisani ya watu wa Marekani
Ni mchungaji anaweza kuzivuta kirahisi tu kwa hiari ya wateja.
Kuna watu wanachanga huko ulaya kusaidia Afrika kwa kufata ushereheshaji wa picha na makaratasi lakin wengi tunawazidi uwezo binafsi kifedha.
Natafuta wa kuniunga mkono nitoe msaada wa parachichi za kula kwa wazee wa Ujeruman na isomeke Aljazeera *wazee wa kijeruman wapokea shehena ya msaada wa parachichi toka taasisi ya walima avocado, Tanzania.
Watu kama wewe mnatakiwa ktk jamii muwepo wachawe sana au wasiwepo kabisa kwani hakutakuwa na maendeleo hata ya kukusanya taka wenyewe!Ni upumbavu kuchanga pesa wakati Serikali imekopa pesa kwa ajili hiyo hiyo.
Mitaaa ipo lakini mkuuGoba tunaishi watu wa kaskazini wengi na wengi humu wapo vizuri financially utapalinganisha vp na huko uswahilini?
Mfano tu benki ya dunia wametoa hela ya kutengeneza barabara huko mitaani ila mpaka sasa serikali wamezikalia tuWao ndio watafute mkandarasi, wao ndio wafanye kila kitu na hela zikae kwao wao ndio watamaliza na kukabidhi barabara.
Gari yako ikikata springi hasara kwako au ya serikali.Ni upumbavu kuchanga pesa wakati Serikali imekopa pesa kwa ajili hiyo hiyo.
Ujanja ni kusimama kidete na kuhoji pesa zilizotolewa na WB Kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nini la Dar?
Bandari ni national interest na sio personalIkiwezekana wajenge na bandari yao. Tumechoka kupigwa pale bandari ya magogoni.
Sio kama za huko ambapo hela zikiwa allocated kwa ajili ya miradi halafu zinaliwa na wajinga majiziKujenga barabara ni kazi ya msingi ya serikali yoyote duniani inayokusanya kodi.