Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Wapinzani wanajua kuongea tu lakini utekelezaji wake ni mbovu sana.
Endeleeni na ujinga wenu....naimvie mbuge gsni wa ccm unaweza hata kuchapisha hicho kitabu kama hicho...wajinga nyinyi...huyu ndio mbunge wangu hongera halima mdee kw kuthubutu...five more years...Wales wembe ujinga hao
 
Basi haina maana ya sisi wananchi kuchagua wabunge tuwaachie tu serikali ifanye majukumu yake yenyewe ili tusiwe na lawama kwa watu wasiohusika.
 
Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.
 
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona karibu wote mliochangia humu mawazo na hoja zenu ni ya aina moja ?? Kuna namna sio bure[emoji124][emoji124][emoji124]
Misukule ya 2020 June, July na September.
 
NYIE WAPENDWA MLIO AJIRIWA NA GWAJIMA, BADO HAMJAWEZA KUMSAIDIA MGOMBEA WENU, KULENI TU PESA YAKE, KURA PELEKENI KWA HALIMA
 
Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Wewe unaongea pumba kama hupendi maendeleo hama kawe usituungamanishe na mdee bibi mwongo yulee balaa
Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya Barabara
Hata mbwa akigombea na gwajima nampigia mbwa
 
Ndio umeeleza nini sasa? Huu upumbavu wenu ndio maana ccm itaendelea kutawala sana kutokana na wajinga wajinga kama nyie.

Sasa basi Magufuli anacheza sana muziki,na hiyo nayo unaizungumziaje?
 
Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya Barabara
Hata mbwa akigombea na gwajima nampigia mbwa
Sasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?
 
Sasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?
Hata Kama Hana hio nguvu lakini kwa sababu ametamka Mara nyingi na anaonyesha chuki dhahir kwa waislamu na uislam akipata ubunge atakua anatusimanga Sana
 
Kazi ya mbunge ni kufikisha malalamiko na kero za wananchi bungeni ili serikali iliyoko madarakani iweze kuyatatua /kushughulikia. Hivyo kama kuna maendeleo yamefanyika au hayajafanyika sifa au lawama ni kwa serikali iliyoko madarakani, Naomba ndugu wajumbe mulielewe hilo
 
Gwaji Uno analeta propaganda za kanisani kwake kwenye siasa. akamuulize Mbatia ashawahi kucheza hiyo michezo na Halima.
 

Sasa wewe ndiye CAG au maana matumizi ya pesa za serikali kitaifa yanakaguliwa na CAG. Hizo ni taarifa ametoa kwa vyombo vya habari
 
Thread ya mataga hii [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…