Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ila umejitahid kuanzisha uzi na kuanza kujijibu mwenyewe hongera.
Ha ha ha Jamaa anaandika na kureply! Page tatu zote za mwanzo ni yeye tu katawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila umejitahid kuanzisha uzi na kuanza kujijibu mwenyewe hongera.
ID mpya,inafanya replies kwa posti za Gwajima tu
Endeleeni na ujinga wenu....naimvie mbuge gsni wa ccm unaweza hata kuchapisha hicho kitabu kama hicho...wajinga nyinyi...huyu ndio mbunge wangu hongera halima mdee kw kuthubutu...five more years...Wales wembe ujinga haoWapinzani wanajua kuongea tu lakini utekelezaji wake ni mbovu sana.
Nimeshtukia hizo account za hawa member. Usajiri mpyaID mpya,inafanya replies kwa posti za Gwajima tu
Angalia details kwenye id zao hawana hata miezi mitano hukuIla umejitahid kuanzisha uzi na kuanza kujijibu mwenyewe hongera.
Basi haina maana ya sisi wananchi kuchagua wabunge tuwaachie tu serikali ifanye majukumu yake yenyewe ili tusiwe na lawama kwa watu wasiohusika.Unachokosea mtoa mada ni kwamba huwajui wanakawe kabisaaaa. Pamoja na jitihada zote ulizozifanya na comments nyingi zinaonekana kaandika mtu mmoja, lakini sisi wanakawe tunajua sana kuwa mbunge wala hana uwezo wa kujenga barabara na ndio maana barabara zinajengwa na serikali kwakuwa ndo inayokusanya kodi. Kampeni kama hizi zinawafaa sana wale waumini wa Gwajima wanaoamini mchungaji wao anfufua watu hata hivyo bahati mbaya sana waumini wale asilimia kubwa hawatoki jimbo hili mzee. Wanatoka hukohuko Gongo la mboto
Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.Umeligundua hilo mkuu! Nimepoteza muda kuangalia historia za wachangiaji washambulizi. Wote nilio angalia ni members walio jiunga Juni-sept 2020. Why?
Hayo ndiyo yale ya kule Twitter ambako timu ya Gwajiboy ilivamia na slogan ya "tuinuane" ili wakianza kumtetea MTU wao wasomeke na wengi, wakashtukia na kula block za kutosha sasa bado JF.
Labda tujiulize Gwajiboy na watu wake mbona wamejipanga muda mrefu kuingia bungeni kupitia Kawe kwa kutumia mbinu chafu?
Aina ya mbunge kama Halima ni very rare kupatikana hivyo ni bahati kwa Kawe kuwa naye. Halima hata kama Lissu atashinda urais ikifika suala la serikali kuonea wananchi lazima watazinguana tuu maana hana unafiki wala tabia ya kusema NDIYOOO penye HAPANA.
Kuna mambo Halima anaweza kuwa kashindwa kutekeleza Kawe, lakini wananchi tunajuwa kuwa alikuwa anapambana na serikali ya aina gain hasa ambayo iko radhi kuumiza wananchi kwa sababu haimpendi mbunge wa eneo hilo.
Ni wajibu kuiadhibu serikali ya chama hicho kwa kuitoa madarakani kuliko kuipigia magoti tena miaka mitano kwa sababu yenyewe imetupigia magoti kwa siku moja.View attachment 1586342View attachment 1586343
Misukule ya 2020 June, July na September.Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona karibu wote mliochangia humu mawazo na hoja zenu ni ya aina moja ?? Kuna namna sio bure[emoji124][emoji124][emoji124]
Kilichobaki ndio hichi kuwaweka hadharani watu wasijichosheMisukule ya 2020 June, July na September.View attachment 1586849View attachment 1586850View attachment 1586851View attachment 1586853View attachment 1586861View attachment 1586862View attachment 1586863View attachment 1586864View attachment 1586865View attachment 1586866View attachment 1586867View attachment 1586868
HAWA WANAKUJAGA NA KUPOTEA WANAPASWA WAMSHUKURU HALIMA KAWAINGIZA KWENYE PAYROL YA GWAJIBOYMisukule ya 2020 June, July na September.View attachment 1586849View attachment 1586850View attachment 1586851View attachment 1586853View attachment 1586861View attachment 1586862View attachment 1586863View attachment 1586864View attachment 1586865View attachment 1586866View attachment 1586867View attachment 1586868
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.
Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya BarabaraWewe unaongea pumba kama hupendi maendeleo hama kawe usituungamanishe na mdee bibi mwongo yulee balaa
Ndio umeeleza nini sasa? Huu upumbavu wenu ndio maana ccm itaendelea kutawala sana kutokana na wajinga wajinga kama nyie.JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.
Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??
Mataga Tafuta thamani ya X......
Sasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya Barabara
Hata mbwa akigombea na gwajima nampigia mbwa
Hata Kama Hana hio nguvu lakini kwa sababu ametamka Mara nyingi na anaonyesha chuki dhahir kwa waislamu na uislam akipata ubunge atakua anatusimanga SanaSasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.
Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.
Nina uhakika kabisa mtu aliyemshauri Halima Mdee kuandaa kitabu hicho alijua kuwa hajafanya chochote na ndio njia ya kumuonesha kwa wananchi wamjue tunapoelekea kwenye uchaguzi; asante sana muandaaji na mshauri kwa kutuokoa na kirusi hiki tulichoishi nacho kwa miaka 10.
Kelele nyingi zinazopigwa na Wabunge wa upinzani zinaonekana kuwa za kweli lakini kama utekelezaji ni wa namna hii, basi huenda wapinzani wakawa ni hatari sana kuliko mtu yeyote yule.
Namalizia summary ya kitabu hiki na nitaileta kwenu moja kwa moja
Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini