Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Wapinzani wanajua kuongea tu lakini utekelezaji wake ni mbovu sana.
Endeleeni na ujinga wenu....naimvie mbuge gsni wa ccm unaweza hata kuchapisha hicho kitabu kama hicho...wajinga nyinyi...huyu ndio mbunge wangu hongera halima mdee kw kuthubutu...five more years...Wales wembe ujinga hao
 
Unachokosea mtoa mada ni kwamba huwajui wanakawe kabisaaaa. Pamoja na jitihada zote ulizozifanya na comments nyingi zinaonekana kaandika mtu mmoja, lakini sisi wanakawe tunajua sana kuwa mbunge wala hana uwezo wa kujenga barabara na ndio maana barabara zinajengwa na serikali kwakuwa ndo inayokusanya kodi. Kampeni kama hizi zinawafaa sana wale waumini wa Gwajima wanaoamini mchungaji wao anfufua watu hata hivyo bahati mbaya sana waumini wale asilimia kubwa hawatoki jimbo hili mzee. Wanatoka hukohuko Gongo la mboto
Basi haina maana ya sisi wananchi kuchagua wabunge tuwaachie tu serikali ifanye majukumu yake yenyewe ili tusiwe na lawama kwa watu wasiohusika.
 
Umeligundua hilo mkuu! Nimepoteza muda kuangalia historia za wachangiaji washambulizi. Wote nilio angalia ni members walio jiunga Juni-sept 2020. Why?
Hayo ndiyo yale ya kule Twitter ambako timu ya Gwajiboy ilivamia na slogan ya "tuinuane" ili wakianza kumtetea MTU wao wasomeke na wengi, wakashtukia na kula block za kutosha sasa bado JF.
Labda tujiulize Gwajiboy na watu wake mbona wamejipanga muda mrefu kuingia bungeni kupitia Kawe kwa kutumia mbinu chafu?
Aina ya mbunge kama Halima ni very rare kupatikana hivyo ni bahati kwa Kawe kuwa naye. Halima hata kama Lissu atashinda urais ikifika suala la serikali kuonea wananchi lazima watazinguana tuu maana hana unafiki wala tabia ya kusema NDIYOOO penye HAPANA.
Kuna mambo Halima anaweza kuwa kashindwa kutekeleza Kawe, lakini wananchi tunajuwa kuwa alikuwa anapambana na serikali ya aina gain hasa ambayo iko radhi kuumiza wananchi kwa sababu haimpendi mbunge wa eneo hilo.
Ni wajibu kuiadhibu serikali ya chama hicho kwa kuitoa madarakani kuliko kuipigia magoti tena miaka mitano kwa sababu yenyewe imetupigia magoti kwa siku moja.View attachment 1586342View attachment 1586343
Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.
 
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona karibu wote mliochangia humu mawazo na hoja zenu ni ya aina moja ?? Kuna namna sio bure[emoji124][emoji124][emoji124]
Misukule ya 2020 June, July na September.
2020_10_01_14.28.24.jpg
2020_10_01_14.28.32.jpg
2020_10_01_14.28.39.jpg
2020_10_01_14.28.45.jpg
2020_10_01_14.28.51.jpg
2020_10_01_14.28.58.jpg
2020_10_01_14.29.06.jpg
2020_10_01_14.29.13.jpg
2020_10_01_14.29.35.jpg
2020_10_01_14.29.52.jpg
2020_10_01_14.30.20.jpg
2020_10_01_14.31.55.jpg
 
NYIE WAPENDWA MLIO AJIRIWA NA GWAJIMA, BADO HAMJAWEZA KUMSAIDIA MGOMBEA WENU, KULENI TU PESA YAKE, KURA PELEKENI KWA HALIMA
 
Kwahiyo kumbe muda wote anautumia kupambana na serikali hadi anasahau na kuwapambania wapiga kura wake katika jimbo lake.
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Wewe unaongea pumba kama hupendi maendeleo hama kawe usituungamanishe na mdee bibi mwongo yulee balaa
Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya Barabara
Hata mbwa akigombea na gwajima nampigia mbwa
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
Ndio umeeleza nini sasa? Huu upumbavu wenu ndio maana ccm itaendelea kutawala sana kutokana na wajinga wajinga kama nyie.

Sasa basi Magufuli anacheza sana muziki,na hiyo nayo unaizungumziaje?
 
Baba mimi ninayo dini yangu siwezi kukubali misikiti na madrasa zinageuzwa kua Sunday school eti kwa sababu ya Barabara
Hata mbwa akigombea na gwajima nampigia mbwa
Sasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?
 
Sasa mbunge na kufanya misikiti kuwa Sunday school ni wapi na wapi?ana nguvu gani ya kufanya hivyo?
Hata Kama Hana hio nguvu lakini kwa sababu ametamka Mara nyingi na anaonyesha chuki dhahir kwa waislamu na uislam akipata ubunge atakua anatusimanga Sana
 
Kazi ya mbunge ni kufikisha malalamiko na kero za wananchi bungeni ili serikali iliyoko madarakani iweze kuyatatua /kushughulikia. Hivyo kama kuna maendeleo yamefanyika au hayajafanyika sifa au lawama ni kwa serikali iliyoko madarakani, Naomba ndugu wajumbe mulielewe hilo
 
Gwaji Uno analeta propaganda za kanisani kwake kwenye siasa. akamuulize Mbatia ashawahi kucheza hiyo michezo na Halima.
 
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.

Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.

Nina uhakika kabisa mtu aliyemshauri Halima Mdee kuandaa kitabu hicho alijua kuwa hajafanya chochote na ndio njia ya kumuonesha kwa wananchi wamjue tunapoelekea kwenye uchaguzi; asante sana muandaaji na mshauri kwa kutuokoa na kirusi hiki tulichoishi nacho kwa miaka 10.

Kelele nyingi zinazopigwa na Wabunge wa upinzani zinaonekana kuwa za kweli lakini kama utekelezaji ni wa namna hii, basi huenda wapinzani wakawa ni hatari sana kuliko mtu yeyote yule.

Namalizia summary ya kitabu hiki na nitaileta kwenu moja kwa moja

Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini

Sasa wewe ndiye CAG au maana matumizi ya pesa za serikali kitaifa yanakaguliwa na CAG. Hizo ni taarifa ametoa kwa vyombo vya habari
 
Thread ya mataga hii [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom