kanchibay
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 671
- 690
[emoji23][emoji23]tulihoUlakotze umwana watchuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]tulihoUlakotze umwana watchuuuuu
Kupitia mitandao ya jamii tayari watu wametoa taarifa na kuzi-task uhamiaji na usalama wa Taifa kufanya kazi yao!Yaani unahoji Uraia wa mtu kumbe hauna enough information to question anything.. kisha kupata uthibitisho juu ya uraia wake.. unarudi tena kwa Serikali ikusaidie na majibu ya uthibitisho.!?
Kwann kama unaongozwa na busara usimuulize moja kwa moja kamishna wa Uhamiaji? Ili usi-misslead watu na once you clear your doubt usihitaji kwenda public(kama ulivyokuwa na hizi shutuma) kusema #kumradhi nilikosea!?#
Kama tunashindwa kusema moja kwa moja tunakotakiwa kuhoji.. huo ni unafiki kama unafiki mwingine.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
PatheticKuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa.
Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza kuona kama mnabaguliwa na kutengwa. Uraia wa mtu ye yote nchini ni suala la usalama wa nchi na rasilimali zake.
Watu wanaohoji uraia wa Dr Mpango wako sahihi na mwacheni ajibu hoja na siyo ninyi wengine wenyeji wa Kigoma kuanza kumjibia. Ni hoja zake binafsi na yeye ndiye mwenye majibu na siyo ninyi. Kitendo cha baadhi ya wenyeji wa Kigoma kuanza kulalamika na kujenga hoja ya kubaguliwa kikabila halikubaliki. Ukabila au ukanda ni mambo ambayo hayatakiwi na ni ya kuyapiga vita kwa nguvu zetu zote.
Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais hivyo wananchi wenzake tunatakiwa kumfahamu vizuri mwenzetu huyu na si vinginevyo. Usalama wa Tanzania kwanza!
Wananchi wanamuhoji kupitia mitandao ya jamii na serikali inafuatilia sana mitandao ya jamii na ndiyo sababu huchukua hatua za kisheria dhidi ya wahalifu wa mitandaoni.Kwanza futa kauli yako, Dr Mpango ahojiwi ni kelele za mitandaoni, kama hizo kelele Zina tija serikali watafanyia kazi, ukiona kimya fahamu, kuwa serikali ina vitu vingi vya msingi vya kufanya
Maybe...maybe not!Kupitia mitandao ya jamii tayari watu wametoa taarifa na kuzi-task uhamiaji na usalama wa Taifa kufanya kazi yao!
Ok basi jifunze kuwa na subra.Wamekwisha pata taarifa na wanafanyia kazi.
Katika ulimwengu huu wa utandawazi mitandao ya jamii ndiyo njia muafaka ya kupashana habari, kuelimishana na kuburudishana.Maybe...maybe not!
Shida it's hard for people to put context in a lot of things Mitandaoni. And this kind of uhuru can be toxic.
Pasaka Njema Ndugu Yangu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aya kila la heri.Vyote kwa pamoja na njia zingine zisizo rasmi
Nashukuru kumbe unajuaWala hutakuwa wa mwisho.
Nafahamu vizuri lakini sijawahi kuogopa kumkabiri mbaguzi awe mzungu, asian au mweusi mwezangu. Siku ukitembea duniani ukakutana na ubaguzi ndio utaelewa.Nashukuru kumbe unajua
Ubarikiwe nashukuru sana mkuu.Katika ulimwengu huu wa utandawazi mitandao ya jamii ndiyo njia muafaka ya kupashana habari, kuelimishana na kuburudishana.
Pasaka iwe njema nawe pia!
Hauwezi kuzidi wa jiweNafahamu vizuri lakini sijawahi kuogopa kumkabiri mbaguzi awe mzungu, asian au mweusi mwezangu. Siku ukitembea duniani ukakutana na ubaguzi ndio utaelewa.
Nashauri Kigoma ijitenge ili iundwe nchi kama Rwanda na Burundi.Pole mkuu umeandika kwa uchungu mkubwa, Nami natilia nyama kama wanaona Kigoma ni kero waiache, kwanini wanailazimisha kuwa Tanzania kama hawaitaki
Ni kweli ila suala la Dr Mpango kuthibitisha uraia mtandaoni huo sio wajibu wake, Kuna taasisi ipo kwa ajili ya kuthibitisha au kukanusha uraia wa mtu yeyote, hivyo Dr Mpango atawajibika hukoWananchi wanamuhoji kupitia mitandao ya jamii na serikali inafuatilia sana mitandao ya jamii na ndiyo sababu huchukua hatua za kisheria dhidi ya wahalifu wa mitandaoni.