Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

Siyo suala la yeye kuamua awe raia wa nchi gani, ni suala la katiba ya nchi. Kwamba watu wote waliokuwa wanaishi Tanganyika wakati wa uhuru ni Watanzania pamoja na vizazi vyao. Wale waliohamia baada ya uhuru wanapaswa kuomba uraia. Sasa kuhusu kuongoza nchi kwa ngazi ya Urais katiba inataka awe raia wa kuzaliwa na si vinginevyo.

Mpango amefikia hiyo ngazi ndiyo sababu watu wanahoji na wana hoja ya msingi kikatiba!
Na swala la usalama wa taifa kufail mbona tinaliruka!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
1. Katiba inataka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe raia halisi wakuzaliwa sio wakuhamia, mkimbizi au wakuja.

2. Kila siku tunajaza madodoso yanayohoji uraia wetu kila mmoja kama mtu binafsi, sio kabila, mkoa au kikundi cha watu.

3. Uraia ni swala la mtu binafsi sio mkoa, kabila AMA kikundi cha watu

4. Kila mmoja awajibika kujitetea, kujieleza nakuthibisha uraia wake wa ainagani

Hivyo basi kujimwambafy kutoa majibu ya mtu mwingine au utetezi pasipo kuitwa mahakamani na mhusika kama witness nikutojitambua.

Utetezi wa uraia wa mtu ni jukumu lake binafsi sio kabila, mkoa au kikundi cha watu.

Askofu kakobe
Kabendera
Askofu Niwemugizi
General Ulimwengu.... tena huyu alienda mpaka vitani Uganda na alishika nyazifa selekarini bado alihojiwa.

Tutambuwe baadhi ya nyadhifa serikalini hususani Urais una masharti Maalum mojawapo ni uraia.
Kuhoji ni swala jema ila nadhani lina taratibu. Ukihoji kwa njia hii ..hiyo inakuwa smear campaign. Ukihoji halafu akathibitisha na umesha mjengea image mbaya kwa wananchi inakuwa imesaidia nn!?

Huna uhakika na uraia wa mtu si unakwenda uhamiaji au mahakamani!? Sasa kwann mtu asiende huko halafu upate majibu ..kuliko kuanzia huku halafu uharibu image ya mtu kwa umma kisha urudi kule kule kupata majibu!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama mnahisi yeye ni raia wa nchi jirani amefika hivi hapo kwenye hiyo nafasi, je hamkumfahamu kabla, hayo ndo yaleee yaliyomtokea askofu Niwengizi wa Ngara, naona hii nchi inaleta vugu vugu la ukabira sana wakati nyerere aliweza kulitokomeza,
 
Hiyo ndiyo hoja yako! Bila shaka wewe ni bendera kufuata upepo, vinginevyo ni mpumbavu!
Tatizo huna hata hoja unapayuka kuhusu uraia wa mtu lakini utambui tuna uhamiaji na Nida vyombo vilivyounda kisheria kwa ajili ya kazi hizo. Ukituliza akili utagundua wewe ndio mfuata upepo na basically ni mjinga. Kingine usichokijua watu wa mipakani hawawezi kuchagua mbunge ambae ni mkimbizi kwasababu kule wanajuana.
 
Tatizo huna hata hoja unapayuka kuhusu uraia wa mtu lakini utambui tuna uhamiaji na Nida vyombo vilivyounda kisheria kwa ajili ya kazi hizo. Ukituliza akili utagundua wewe ndio mfuata upepo na basically ni mjinga. Kingine usichokijua watu wa mipakani hawawezi kuchagua mbunge ambae ni mkimbizi kwasababu kule wanajuana.
Mjinga wee hujawahi kusikia kuna watu wamepewa uongozi kumbe ni wahamiaji haramu?
 
Katiba ya nchi inatutaka kumfahamu vizuri zaidi. Kwa nafasi aliyonayo anaweza akawa Rais wa nchi wakati wo wote. Katiba ya nchi inataka Rais wa nchi awe raia wa kuzaliwa full stop.
Kama unataka kufuata sheria basi fuata utaratibu na ukatoe ripoti uhamiaji kwamba Mpango ni mkimbizi.
 
Ndiyo hao hao kule kagera huwa wanaitwa WASH
Huu ni umaskini wa akili na lack of exposure unakusumbua. Utakuta wakati Babu yangu anapiginia uhuru Wazee wako walikuwa wanafanyia kazi wahindi.
 
Usalama wa Taifa wana sehemu yao na huenda wanalifanyia kazi na sisi raia tuna sehemu yetu. Mwisho wa siku muafaka utafikiwa.
Yaani unahoji Uraia wa mtu kumbe hauna enough information to question anything.. kisha kupata uthibitisho juu ya uraia wake.. unarudi tena kwa Serikali ikusaidie na majibu ya uthibitisho.!?

Kwann kama unaongozwa na busara usimuulize moja kwa moja kamishna wa Uhamiaji? Ili usi-misslead watu na once you clear your doubt usihitaji kwenda public(kama ulivyokuwa na hizi shutuma) kusema #kumradhi nilikosea!?#

Kama tunashindwa kusema moja kwa moja tunakotakiwa kuhoji.. huo ni unafiki kama unafiki mwingine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa, kigoma mwidiweeee

Kigoma kuchele

Waha wote nawasalimia,, Mwakeye????
 
Huu ni umaskini wa akili na lack of exposure unakusumbua. Utakuta wakati Babu yangu anapiginia uhuru Wazee wako walikuwa wanafanyia kazi wahindi.
Ukiwa ni MUSHUTI kubali tu maana kukasilika ni kujinyanyapaa
 
Ni Upuuzi huo bali ni ujinga na ubaguzi mkubwa. Hivi wadhifa wa kwanza wa umma kupewa huyo Dr, Mpango ni umakamu wa raisi? Mbona hakuhojiwa uraia wake kabla hajawa waziri wa fedha nk!

Mmasai yupo Tz na Kenya, Mkurya yupo Tz na Kenya , Mjaluo halikadhalika yupo Tz na Kenya, Mkisii, mdigo nk wote hao wapo kenya na Tz, Mmakonde, Myao wote wapo Tz na msumbiji, Mnyakyusa yupo Tz na Malawi mbona kote huko hakuna shida za uraia?--- likija suala la Kigoma hapo nuksi inaanza, mimi binafsi nilisumbuliwa kishenzi juu ya uraia wangu kisa tu nilikuwa pamoja na jamaa mwenye uraia wenye utata na pia natoka Kigoma, licha ya kuonyesha vielelezo vyote vinavyoonyesha kwamba mimi ni mtanzania halali na mzaliwa wa Kigoma na kiswahili changu ni bora sana (cha kitanzania) kuliko hata cha hao maafisa wa immigration waliokuwa wakinihoji lakini iligonga mwamba na mimi nakashikilia msimamo wangu kutetea Utanzania wangu!

Kumbe walikuwa wanataka rushwa ili waniachie, nikawaambia sina ela ya kuwapa lakini wasubiri mipango ikikaa vyema nitawapa, wakaniacha ila wakawa wakinifuatilia ili niwape pesa, namimi nikajiandaa kumfuata rafiki yangu mmoja wa takukuru ili niwatie kitanzi, looo wakastuka na hawakunifuata tena, kazi ikawa kwa yule jamaa mwenye uraia tata.

Nilitaka kukueleza shida tunazopata sisi Wana kigoma huko ofisi za immigration. Ni bora kigoma imegwe kutoka Tanzania iwe ni nchi inayojitegemea kama Rwanda au Burundi maana hatutakiwi.
Pole mkuu umeandika kwa uchungu mkubwa, Nami natilia nyama kama wanaona Kigoma ni kero waiache, kwanini wanailazimisha kuwa Tanzania kama hawaitaki
 
Kama huwezi kujua kwa nini anahojiwa sasa basi ni ujinga wako ambao kwa sasa hatuwezi kukusaidia! Rudi shule utaelimika!
Kwanza futa kauli yako, Dr Mpango ahojiwi ni kelele za mitandaoni, kama hizo kelele Zina tija serikali watafanyia kazi, ukiona kimya fahamu, kuwa serikali ina vitu vingi vya msingi vya kufanya
 
Back
Top Bottom