Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sikulaumu wewe. Umewaaibisha sana masikini wazazi wako.Nyie ndio wa kiwango cha Cha bwawa la Rufiji mnawapa Watanzania wenzenu uraia wa nchi nyingine. Huo ndo ushamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikulaumu wewe. Umewaaibisha sana masikini wazazi wako.Nyie ndio wa kiwango cha Cha bwawa la Rufiji mnawapa Watanzania wenzenu uraia wa nchi nyingine. Huo ndo ushamba.
Mbona unajibu hoja zisizokuhusu! Wewe ni?Whether alicheza kabla au la, whether wanaohoji waliona zile clips kabla au la is insignificant. What matters most is , Dr. Mpango ndie Vice President wa JMT. People can go to hell, come back and go to hell once more as far as we are concerned.
Zitto hajawshi kuwa na busara ndicho kilichomfanya aamue kutoka CHADEMA kwa vile aliwekewa kizingiti alipoutaka uwenyekitiTatizo lake Zitto hajawahi kutumia busara kwenye mambo yanayo hitaji busara.
Najaribu kukuelewesha wewe na wenzio wote mnaopropagate uzushi usio na hoja. Haya mambo wala hayahitaji hata elimu ya form one kuyaelewa.Mbona unajibu hoja zisizokuhusu! Wewe ni?
Ukisingiziwa wizi ni jukumu lako wewe binafsi kujitetea wanaokufahamu watatoa ushahidi baadaye. Mwacheni Mpango ajitetee ninyi mnaomfahamu mtatoa ushahidi wenu baadaye. Na siyo ninyi kujitia kimbelembele!Najaribu kukuelewesha wewe na wenzio wote mnaopropagate uzushi usio na hoja. Haya mambo wala hayahitaji hata elimu ya form one kuyaelewa.
Vice President hawezi kupoteza muda wake kwenda Twitter, JF au Facebook kujibu kila tetesi au kihoja kinachokuwa propagated na haters tena baada ya mamluki wao kuikosa nafasi.Mwacheni Mpango ajitetee ninyi mnaomfahamu mtatoa ushahidi wenu baadaye. Na siyo ninyi kujitia kimbelembele!
Hayo mamlaka ya kumhoji makamo wa raisi kuhusu uraia wake mmeyapata wapi? Hivi unashaka na taasisi ya uraisi kwa kumteua kuwa makamo wa uraisi? Ikiwa elimu hamna basi hata adabu na haya hamna?Kama huwezi kujua kwa nini anahojiwa sasa basi ni ujinga wako ambao kwa sasa hatuwezi kukusaidia! Rudi shule utaelimika!
Watu wanahoji uwepo wa Mungu itakuwa Mpango ambaye anafoji takwimu za uchumi!Hayo mamlaka ya kumhoji makamo wa raisi kuhusu uraia wake mmeyapata wapi? Hivi unashaka na taasisi ya uraisi kwa kumteua kuwa makamo wa uraisi? Ikiwa elimu hamna basi hata adabu na haya hamna?
Yaani system imeshindwa ki-track uraia wa Mpango? Kwa hiyo yeyote wa Kigoma ni Mrundi, mbona hatudai kuwa Warundi ni Watanzania? Kimsingi Burundi ilinyofolewa kutoka Tanzania, kwa nini tisiwarudishe?Waha ni Watanzania haina shida. Lakini kuna waliojipenyeza na kijifanya Watanzania kumbe ni wahamiaji haramu. Kinachotakiwa ni wenyeji wa Kigoma kuwabaini na kuwafikisha katika vyombo vya dola.
Shukran nimeshakufahamu. Wewe ni miyayusho jazz band.Watu wanahoji uwepo wa Mungu itakuwa Mpango ambaye anafoji takwimu za uchumi!
Siyo kwamba wameshindwa bali serikali ya CCM imekuwa ikitumia mbinu hii kuwanyamazisha wapinzani wake, hivyo watu wengine wanaitumia kuwakumbusha CCM kutenda haki kwa watu wote kwa usawa.Yaani system imeshindwa ki-track uraia wa Mpango? Kwa hiyo yeyote wa Kigoma ni Mrundi, mbona hatudai kuwa Warundi ni Watanzania? Kimsingi Burundi ilinyofolewa kutoka Tanzania, kwa nini tisiwarudishe?
Vv
Halina ukawaida wowote. Mbona manamba na waha walioletwa kulima mikonge tanga na karafuu Zanzibar na pwani hatuwaiti warundi!? Wamejaa wamanyema mjini DSM lakini hamuwaiti warundi!?Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa.
Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza kuona kama mnabaguliwa na kutengwa. Uraia wa mtu ye yote nchini ni suala la usalama wa nchi na rasilimali zake.
Watu wanaohoji uraia wa Dr Mpango wako sahihi na mwacheni ajibu hoja na siyo ninyi wengine wenyeji wa Kigoma kuanza kumjibia. Ni hoja zake binafsi na yeye ndiye mwenye majibu na siyo ninyi. Kitendo cha baadhi ya wenyeji wa Kigoma kuanza kulalamika na kujenga hoja ya kubaguliwa kikabila halikubaliki. Ukabila au ukanda ni mambo ambayo hayatakiwi na ni ya kuyapiga vita kwa nguvu zetu zote.
Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais hivyo wananchi wenzake tunatakiwa kumfahamu vizuri mwenzetu huyu na si vinginevyo. Usalama wa Tanzania kwanza!
Your Reasoning is very questionable. Lazima ukae ujiulize kabla hujazungumza. Imagine wewe ni mlemavu.. ufike sehemu usikie mlemavu mwingine anaulizwa (mr.x kwanini nyie walemavu huwa mnanuka?)Anahojiwa Dr Mpango wewe povu la nini?
Uliza Tanzania hii 5 generations Back uone nani anabakia hapa. Wengine watoto wamezaliwa na waendesha maroli wa zambia na kongo nao utawakuta humu nyenyenyee. Hii nchi inafurahisha sana..Ni Upuuzi huo bali ni ujinga na ubaguzi mkubwa. Hivi wadhifa wa kwanza wa umma kupewa huyo Dr, Mpango ni umakamu wa raisi? Mbona hakuhojiwa uraia wake kabla hajawa waziri wa fedha nk!
Mmasai yupo Tz na Kenya, Mkurya yupo Tz na Kenya , Mjaluo halikadhalika yupo Tz na Kenya, Mkisii, mdigo nk wote hao wapo kenya na Tz, Mmakonde, Myao wote wapo Tz na msumbiji, Mnyakyusa yupo Tz na Malawi mbona kote huko hakuna shida za uraia?--- likija suala la Kigoma hapo nuksi inaanza, mimi binafsi nilisumbuliwa kishenzi juu ya uraia wangu kisa tu nilikuwa pamoja na jamaa mwenye uraia wenye utata na pia natoka Kigoma, licha ya kuonyesha vielelezo vyote vinavyoonyesha kwamba mimi ni mtanzania halali na mzaliwa wa Kigoma na kiswahili changu ni bora sana (cha kitanzania) kuliko hata cha hao maafisa wa immigration waliokuwa wakinihoji lakini iligonga mwamba na mimi nakashikilia msimamo wangu kutetea Utanzania wangu!
Kumbe walikuwa wanataka rushwa ili waniachie, nikawaambia sina ela ya kuwapa lakini wasubiri mipango ikikaa vyema nitawapa, wakaniacha ila wakawa wakinifuatilia ili niwape pesa, namimi nikajiandaa kumfuata rafiki yangu mmoja wa takukuru ili niwatie kitanzi, looo wakastuka na hawakunifuata tena, kazi ikawa kwa yule jamaa mwenye uraia tata.
Nilitaka kukueleza shida tunazopata sisi Wana kigoma huko ofisi za immigration. Ni bora kigoma imegwe kutoka Tanzania iwe ni nchi inayojitegemea kama Rwanda au Burundi maana hatutakiwi.