Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
Sema nyie silent killers, hao waliomuua Mdude mngewawinda mmoja mmoja na kuwakaribisha kwenye mbege yenye sumu.Mbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
SaaanaHuu ni ubinadamu
Bila nguvu wala silahaSaaana
Nakubaliana na wewe kwenye hili.Watu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana na serikali hata ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Hawa watu nawakubali sanaMBEYA NAWAKUBALI SANA.MBEYA BIG UP
Hongereni sana. Matendo yenu yanasaidia sana kufungua akili za Watanzania waliolala.Asanteni kwa kutukubali
Hawa watu wa Mbeya wapewe maua yao. Wanajali sana maisha ya wenzao. Hawana mchezo kabisa.Kitaelewaka