Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kama hujaelewa haikuhusu ila masopakyindi ameelewaUnamaanisha nni

Umenena vema mkuu, ni kupitiwa tu, ila Gen Mboma anapenda low profile.Mnyakyusa kwa kujipandisha status ndiyo zenu. Yaani umemsahau General Mboma CDF kipindi cha Mkapa na kamanda wa Airforce wakati wa vita dhidi ya Uganda mwaka 1978/79 kwa kuwa siyo Mnyakyusa??
Kwa taarifa yako hao ndugu zako 2 hawaingii hata 40% ya career ya Mboma kwenye uwanja wa vita
SawaSubiri uone ndugu
Soon utajua nchi ya nani, aliyeiuba au nani
Hawa jamaa washamba sana, Mdude kachukuliwa na polisi wao wanaenda kusumbua vichaka.Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
😁ndoho tabhu gete
Yaani kama tunategemea wasukuma ndo wake kukomboa nchi ikipata janga bora adui aliingia tu tujisalimishe angalau tupunguze damages za vita.
Na tukiwategemea kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wahuni tuhesabu miaka kama 6,000 ya sisiem kutamba. Sijawahi kuona jamii inaogopa dola kama jamii ya kisukuma. Akitokea mmoja anayeaminika ndo jembe kwenye jamii yake adai haki atadai kishamba na kujikuta akifanya makosa yanayomtia hatiani kirahisi (kuchamba kwingi)😁
Bora wazazi wako wangetumia mpiraKama hujaelewa haikuhusu ila masopakyindi ameelewa
Wewe ulizaliwa baada ya mama yako kubakwa akiwa anajiuza ndiyo maana matusi ni haki yakoBora wazazi wako wangetumia mpira
Ni kweli mkuu,Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Huna kitu kichwani too generalWewe ulizaliwa baada ya mama yako kubakwa akiwa anajiuza ndiyo maana matusi ni haki yako
Huko ndiko kutaleta mabadiliko ya kweli
Mbeya ni nchi nyingine. Jamaa wako very determinedNimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Unateseka ukiwa wapiLabda waunde chama chao, na sio chadema iliyojifia
Huko wanakomtafuta ndiko mdude yupo au? Kwamba alikuwa mwehu akapotelea msituni na mapangoni ama?Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Unateseka ukiwa wapi