Unamaanisha nniMnyakyusa kwa kujipandisha status ndiyo zenu. Yaani umemsahau General Mboma CDF kipindi cha Mkapa na kamanda wa Airforce wakati wa vita dhidi ya Uganda mwaka 1978/79 kwa kuwa siyo Mnyakyusa??
Kwa taarifa yako hao ndugu zako 2 hawaingii hata 40% ya career ya Mboma kwenye uwanja wa vita
Nyie walevi ,tunawaona ni watu wachafu ..inakuwaje mnakisi na meno yenu hayo?Mkuu umenichekesha sn, hivi kunywa baada ya kazi kuna shida gani? Mtumba hata wazungu wanavaa sn, unataka tuvae suti huku tupo field kutafuta pesa? Nipe mfano mmoja mchaga ambaye ni kibarua kwa mgosi? Tungekuwa hatupendi kwetu hayo maghorofa migombani nani amejenga?
Wagosi mbona mnakunywa sn tu! tuongee ukweli mgosi kwenye uchapakazi wachaga wapo mbali sn tukubali kakaNyie walevi ,tunawaona ni watu wachafu ..inakuwaje mnakisi na meno yenu hayo?
Wamenyooka kama rula,anatuangusha Mwashambwa tuu huko ndio maana tulimtupia Songwe wamfundishe aache ushamba!Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
🤣🤣Huko kwenu mmewaharibu mpaka anazalisha wakina Dangote.Wagosi mbona mnakunywa sn tu! tuongee ukweli mgosi kwenye uchapakazi wachaga wapo mbali sn tukubali kaka
Tuna miili midogo na ujuaji kama wa sunguraWatu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Tulia mgosi🤣🤣Huko kwenu mmewaharibu mpaka anazalisha wakina Dangote.
Mmesahau kuwa kiboko ya M 23 Kule Congo alikuwa Major General Mwakibolwa? Mwaisa kutoka Langbosh!Watu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Hakuna kina Sangoma mbeya. Alipaswa kutafutwa kwa rada na kufungulia radi ya kwenye jua kali wote waliohusika.Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Jdngny...Nchi ni ya Mungu jmn
Kila mtu mwenye roho ya utu na ubinadamu lazima alaani kitendo alichofanyiwa mdude.Yaani nimevaa viatu bya yule mke 🙌😭
Wangekuwa wanacharazwa mboko tu wanakimbiaHalafu ndio mlikuwa mnataka mjitawale nyie !!!!
Umeona we, mlango unavunjwa mpaka wanaondoka na mtu! Sio kama walikuwa wamelala walisikia nakuona movie yoteSshv tusilale hivi hivi jmn
Duh yaaniUmeona we, mlango unavunjwa mpaka wanaondoka na mtu! Sio kama walikuwa wamelala walisikia nakuona movie yote
Subiri uone nduguJdngny...