Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Mgosi sisi ni nguzo yenu ya uchumi, wakati mnakata viuno wachaga wanatafuta pesa ili baadae mfanye vibarua, Lushoto utadhani upo Rombo wachaga tupu
Jichanganyeni siku muone balaa lake , sisi tukiamua tunaweza kuitoa CCM sio nyie ..Endeleeni kupiga kelele
 
Kwe jinsi ccm walivyo hapo watakuwa wanajiapiza kutopeleka maendeleo Mbeya kama ilivyo kawaida yao lkn cha ajabu bado ni miongoni mwa mikoa yenye uchumi mkubwa bila msukumo wa serikali,hizi takwimu kwa roho yao mbaya zitakuwa kero kwao!
Hawa hata usipowapelekea maendeleo hawajali. Kwa sababu wanazalisha chakula kingi sana kwa nguvu zao wenyewe🤣🤣 hivyo hawana njaa na sababu ya kuwapigia magoti CCM.

Ndo mana kimaendeleo wako nyuma kwa sababu hawanaga ufala wa kuuza utu wao kwa kigezo cha maendeleo ya kiini macho ya CCM.
 
Salute to you Waisa. Mmenikosha sana.

Kwenu hatoki Fala.
Tell you what.

Back in the 60's, from our village of Mabonde, we had very prominent figures in the government. One of them used to be an assistant to Gen Sarakikya, of the nascent TPDF.

One day he came back from missions and found his wife pregnant. And rumor has it, the General did it. The government officials under Mzee Nyerere wanted to conceal the matter, but failed.

The Nyakyusa guy, took a gun, shot the wife, and then shot himself to death. Luckily he couldn't find the general around, otherwise he could have been shot too.

After this, all of his records were purged off from Tanzanian Military History. It was a very big scandal back then, but it never became common knowledge.

Talking About Misimamo Mikali 🤔​
 
Tell you what.

Back in the 60's, from our village of Mabonde, we had very prominent figures in the government. One of them used to be an assistant to Gen Sarakikya, of the nascent TPDF.

One day he came back from missions and found his wife pregnant. And rumor has it, the General did it. The government officials under Mzee Nyerere wanted to cover the matter, but failed.

The Nyakyusa guy, took a gun, shot the wife, and then shot himself to death. Luckily he couldn't find the general around, otherwise he could have been shot too.

After this, all of his records were purged off from Tanzanian Military History. It was a very big scandal back then, but it never became common knowledge.

Talking About Misimamo Mikali 🤔​
Duh! It's interesting!

I think you need to write something on your people. These records need to be kept for future generations.

Again, I Salute you guys!
 
Huu ni ubinadamu, lakini hizo picha zinaonesha watu ni wachache mnoo, haifai kusema watu wa mbeya, nilitegemea kuona makundi ya watu, mbeya ina wakazi takribani milioni na chenji, picha inawakilisha watu wengi wa idadi ya watu 100 ila sio milioni, atleast tungeona picha zenye matukio tofauti, makadirio ya watu ifikie hata 100k hivi, hapo pingezi ndio zingeenda kwa wana mbeya
Sasa ulitegemea huyo aliyepigwa picha awe kila mahali? Walipotea kina Soka na wengine uliwaona wangapi wakimtafuta.
 
Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.

Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.

Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.

Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.

Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.

View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Mbeya na Arusha ni kama state zinazojitegemea. Ina watu wa tofauti sana na hawa tuliowazoea huku Dar, Tanga na Zanzibar!
 
Sasa ulitegemea huyo aliyepigwa picha awe kila mahali? Walipotea kina Soka na wengine uliwaona wangapi wakimtafuta.
Soka alipotezwa Temeke hatukuona hata watu 10 kuhangaika kumtafuta.

Deonis Kipanya alipotezwa Rukwa hatujaona hata watu 10 kuhangaika kumtafuta.

Mzee kibao wa Tanga. Hakuna hata mtanga anayejali kufuatilia taarifa saivi wanacheza baikoko na vibao kata.

Ben Saanane alipotezwa ila wakazi wa Dar wanahangaika na kina Zuchu na Daimond pamoja na umbea wa kina Juma lokole.

At least Mwanza siku za Mwanzo niliwaona wanaenda kwa Mkuu wa Mkoa kumfuatilia Amani Manengelo ila nao ni kama wamesanda.

Watu wa Mbeya ni next level aisee.
 
Mbeya na Arusha ni kama state zinazojitegemea. Ina watu wa tofauti sana na hawa tuliowazoea huku Dar, Tanga na Zanzibar!
Arusha wanajitahidi ila nao wahuni pori sana. Kupenda starehe na nyama choma kunawafanya wasiwe consistent.

Mbeya ile ni Jamhuri nyingine kabisa. Wale nahisi wana damu ya kipekee sana.
 
acheni kuwajaza ujinga wenzenu.
Wanambeya msijazwe upepo wa kijinga mkavimba.
haki inadaiwa kwa taratibu za kisheria sio vurugu.
 
acheni kuwajaza ujinga wenzenu.
Wanambeya msijazwe upepo wa kijinga mkavimba.
haki inadaiwa kwa taratibu za kisheria sio vurugu.
Wapi imesemwa wamefanya vurugu?

Akili umepeleka wapi? Au hukuzaliwa nazo kabisa?
 
Kwa wasukuma napinga, hata wakimpoteza kiongozi wao mapambanoni, husema ndo tabu.
😁ndoho tabhu gete

Yaani kama tunategemea wasukuma ndo waje kukomboa nchi ikipata janga bora adui akiingia tu tujisalimishe angalau tupunguze damages za vita.

Na tukiwategemea kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wahuni tuhesabu miaka kama 6,000 ya sisiem kutamba. Sijawahi kuona jamii inaogopa dola kama jamii ya kisukuma. Akitokea mmoja anayeaminika ndo jembe kwenye jamii yake adai haki atadai kishamba na kujikuta akifanya makosa yanayomtia hatiani kirahisi (kuchamba kwingi)😁
 
Mwisho wa sisi kuongoza tutajigawa , hatuwezi kuongozwa na watu wa porini...Tunataka uhuru wetu ,tuwe sehemu yq Zanzibar.
Tujigawe mara ngapi..? tumeshagawanyika tayari, matendo maovu kabisa tena yanafanyika hadharani na kwa kujirudia watu wanakaa kimya as if hakuna kilichotokea simply anayeshukiwa kuwa sehemu ya huo uovu ni mtu wa kabila au dini yao..kwa hali km hiyo unadhani wale kabila na dini tofauti wanafurahia hali hiyo...? kinachofaa kutuunganisha ni wote tuchukie UOVU yeyote akitendewa bila kujali hadhi, dini, kabila umri nk lazima tuinuke pamoja kukataa hali hiyo! hizi sio zama za kuishi kinafiki bwn..
 
Nyie wajinga mnaotekwa ndio nawaonea huruma ,peleka ushamba wako huko ..Tulipambania uhuru nyie mlikuwa bado hata kupiga mswaki hamjui na kuoga.
Nani ulimpambania uhuru wewe mtu wa pwani..haya huo upambanaji wenu umewafikisha wapi hadi sasa..nyinyi si ndio maskini wa kutupwa nchi hii kazi kuongeza wake tu mzigo wa kuhudumia watoto na mama zao wanabeba wengine, hata senti tano ya kodi hamtoi..nani anawalisha nyinyi km si hao washamba..!
 
Back
Top Bottom