Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Nani ulimpambania uhuru wewe mtu wa pwani..haya huo upambanaji wenu umewafikisha wapi hadi sasa..nyinyi si ndio maskini wa kutupwa nchi hii kazi kuongeza wake tu mzigo wa kuhudumia watoto na mama zao wanabeba wengine, hata senti tano ya kodi hamtoi..nani anawalisha nyinyi km si hao washamba..!
Ondoka hapa na wwe unaongea ujinga ,huko Mbeya mna nn cha maana kazi ni ujinga tu ..Pelekeni uthege wenu huko.
 
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamsha taharuki na munkari.
Tukumbuke alipo wekwa ndani Mbunge Mbilinyi a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue namna ya kuitumia kama resource.
 
sisi tunakulisha wewe..usiongee tu km umekatwa kichwa.
Toa uthenge wako hapa ,unamlisha nn hata samaki hamna ,mna nn cha maana washamba nyie na wale wenzenu?😅😅😅Vitambi tu ,nyie wazee wa kuharisha na utapiamlo mumlishe nan?
 
Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.

Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.

Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.

Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.

Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.

View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Kiukweli watu wa Mbeya ni majasili sana
 
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamshataharuki na munkari.
Tukumbuke alipowekwandani Mbunge Mbilinyo a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue nama ya kuitumia kama resource.
Tumewavulia kofia Waisa. Mpo vizuri sana.
Tunategemea muwqamshe Watanzania wa maeneo mengine nao waamke wawe kama nyie.
 
Kumbe 🙌
Kweli lisu ni Habari nyingine aisee
Ngoja tuendelee kumtafuta ndugu yetu Mdude.

Mtaani ni simanzi imetanda, watu wazima kwa wazee hata wasio na vyama wanalaani kilichotokea na wanasema aliyetenda hayo basi hasira ya Mungu iwake juu yake.
 
Umaskini ni wewe na akili yako , uache kuwasaidia ndugu zako mtu ana miaka 42 anaishi kwa baba yake mpaka anaiba koti ya baba yake , mzee anamuua mwanae wa kumzaa ..Saidia hawa wajinga kwanza huko kwenu , kwingine ni shobo mpauko .

Kwamba wagosi kuwa vibarua wa wachaga ndiyo maendeleo?
 
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamsha taharuki na munkari.
Tukumbuke alipo wekwa ndani Mbunge Mbilinyi a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue namna ya kuitumia kama resource.
When Mwabukusi spoke against the Bandari Lease people mocked him as a noisy heckler and called out his bluff. Unfortunately, the chap wasn't bluffing 🤣🤣🤣​
 
Ngoja tuendelee kumtafuta ndugu yetu Mdude.

Mtaani ni simanzi imetanda, watu wazima kwa wazee hata wasio na vyama wanalaani kilichotokea na wanasema aliyetenda hayo basi hasira ya Mungu iwake juu yake.
Yaani nimevaa viatu bya yule mke 🙌😭
 
Kwani nyie hakuna vibarua kutoka uchagaji?🤣🤣🤣kwani hapo uchagani nani hajafika ?,hauoni mna akili za kitumwa hampendi kwenu ...Walevi na wachafu ,kazi kuvaa nguo za mtumba.
Mkuu umenichekesha sn, hivi kunywa baada ya kazi kuna shida gani? Mtumba hata wazungu wanavaa sn, unataka tuvae suti huku tupo field kutafuta pesa? Nipe mfano mmoja mchaga ambaye ni kibarua kwa mgosi? Tungekuwa hatupendi kwetu hayo maghorofa migombani nani amejenga?
 
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sitazamii kuwa mwanachama wake wakati wowote ujao.
Ila mimi ni mwananchi wa Mbeya.
Watu wa Mbeya tupo tofauti kidogo, kwanza usimdharau mtu wa Mbeya , huwa tupo very sensitive kwa hilo.
Pili, watu wa Mbeya wako very emotional, habari za ubinadamu wanaichukulia very personal.
Hivyo katika hili, kupotea kwa Nyagali limewagusa kiasi cha kuamsha taharuki na munkari.
Tukumbuke alipo wekwa ndani Mbunge Mbilinyi a.k.a Sugu wa CHADEMA. Prof Mwandosya kwa kuona isivyo sahihi na kuonewa alienda kumtembelea jela.
Hili ni thibitisho halisi la watu wa Mbeya.
Tatu, watu wa Mbeya wakisha hamasika kuwa kuna hatari inakuja, ni very serious fighters
Ni wapiganaji hodari wasioogopa.
Mifano hai ni Gen Davis Mwamunyange akiwa vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Gen Mwakibolwa huko Goma Kongo.
Hii sifa ya watu wa Mbeya , serikali iliyopo madarakani ijue namna ya kuitumia kama resource.
Mnyakyusa kwa kujipandisha status ndiyo zenu. Yaani umemsahau General Mboma CDF kipindi cha Mkapa na kamanda wa Airforce wakati wa vita dhidi ya Uganda mwaka 1978/79 kwa kuwa siyo Mnyakyusa??

Kwa taarifa yako hao ndugu zako 2 hawaingii hata 40% ya career ya Mboma kwenye uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom