Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #81
Ni ujinga sio mapenzi.Tanga ni kiwanda cha mapenzi
Ni ujinga sio mapenzi.Tanga ni kiwanda cha mapenzi
Pwani yoote kuna mapanyabukuMaiti nyingi zipo Pwani.
Wajinga pambaneni kimpango wenu ,hatuwezi kufuata uthenge wenu .. CHADEMA hakutokea kwety hatuna shobo nayo ...Jilinganisheni na watu wa porini wenzenu...Kama mnataka vita tangazeni mtaelewa kenge maji nyieTanga wanawaza baikoko na vibao kata tu.
Huku hatuitambui CHADEMA ni shobo tu hatuwataki .Tanga ni kiwanda cha mapenzi
Nakuonea huruma wewe na kizazi chako.Wajinga pambaneni kimpango wenu ,hatuwezi kufuata uthenge wenu .. CHADEMA hakutokea kwety hatuna shobo nayo ...Jilinganisheni na watu wa porini wenzenu...Kama mnataka vita tangazeni mtaelewa kenge maji nyie
Kilimanjaro wenye akili wengi wao wapo nje ya mkoa. Waliobaki ni walevi na wanaondekeza uzinzi wa hapa na pale.Mbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
Nyie wajinga mnaotekwa ndio nawaonea huruma ,peleka ushamba wako huko ..Tulipambania uhuru nyie mlikuwa bado hata kupiga mswaki hamjui na kuoga.Nakuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kwetu usingesikia watu wanahangaika hivi. Nakubaliana na wewe, kule kwetu umoja upo misibani na kwenye sherehe tu.Kilimanjaro wenye akili wengi wao wapo nje ya mkoa. Waliobaki ni walevi na wanaondekeza uzinzi wa hapa na pale.
Ndio maana Kilimanjaro uchumi WA kati umeshikwa sana na pombe safi na chafu.
Nilienda kwenye msiba Marangu na jamaa mmoja wa pwani, ameshangaa sana asubuhi pale Marangu mtoni wazee wamechomekea fresh wameshaagiza bia zao na supu. Siku ya kazi. Nikamwambia wastaafu hao usiige au wanatumiwa Hela Toka mjini.
Kwahiyo asubuhi saa kumi na mbili uko Rombo kwenye viboboso/banana kumejaa.Tena unaenda kiwandani/local cha nyumbani unapimiwa na jagi. Ukienda Msaranga Moshi aubuhi wanawahi jikoni gongo ya moto na mapupu.
Sasa akina Lema, Mbowe and the likes si ndio hao wako mikoani.
Kilimanjaro umoja wenye nguvu ni misiba na sherehe. Vingine utajibeba.
So yes, akipotea wa kwenu unamtafuta mwenyewe.
Kama hujui nchi zote zilizoendelea leo kuna wananchi waliojitolea kuwapambania wenzao. Hapa Tz naona wananchi hao ni watu wa Mbeya na Mara.Nyie wajinga mnaotekwa ndio nawaonea huruma ,peleka ushamba wako huko ..Tulipambania uhuru nyie mlikuwa bado hata kupiga mswaki hamjui na kuoga.
RC Juma Homera ndiye aliyeratibu mauaji ya Mdude na yule dogo ChaulaNimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Hamna hizo nguvu sasa tulizeni mishono , sisi tukiingia mzigoni mtaelewa , hatupendi kujichnagnya na washamba kama nyie , piganeni kimpango wenu , hamna uwezo wa kutuamrisha tufanye nn ..Unakumbuka zile vurugu za Mtwara , fanyeni kama zile tuone , nyie hamna cha kutushinda , endeleeni na ujinga wenu .Kama hujui nchi zote zilizoendelea leo kuna wananchi waliojitolea kuwapambania wenzao. Hapa Tz naona wananchi hao ni watu wa Mbeya na Mara.
Wanapenda sn ngonoNi ujinga sio mapenzi.
Ndiyo maana mnaishi kwenye ufukara wa kutupwaHuku hatuitambui CHADEMA ni shobo tu hatuwataki .
Wasukuma wataonyesha hasira yao kwa kutompa kura Mzanzibari ambaye wanaamini ana mkono kwa kumtanguliza mwendazake, japo atatangazwa kuwa ameshinda kwa 99.9% lakini hataokota hata kura moja toka Usukumani.Kweli mkuu ila kuna mtu kasema wasukuma nao ni wapigania haki. Nimekuja nataka kuoneshwa msukuma mpigania haki hapa Tanzania tumjue. Km sio kina bashite tupu na meko. Type za watemi
Huko kilimanjaro nanyi mlikuwa juu kileleni dhidi ya udhalimu sasa mko chini chini ka soliMbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
Unajidanganya ,hatuwaji kuomba wala kuhangaika tunajitosheleza , mafukara nyie wenye meno kama mnakula kinyesi .Ndiyo maana mnaishi kwenye ufukara wa kutupwa
Na dodomaMaiti nyingi zipo Pwani.
Kalieni kukata viuno vyumbani wapuuzi wakubwa nyie, wagosi kazi kubwa nyie ni kufanya vibarua kwa wachagaUnajidanganya ,hatuwaji kuomba wala kuhangaika tunajitosheleza , mafukara nyie wenye meno kama mnakula kinyesi .