Asije pata tabia za baba tu.Hawezi
Sijaelewa comment yako bosKwa wasukuma napinga, hata wakimpoteza kiongozi wao mapambanoni, husema ndo tabu.
Siku hizi uzalendo hamna kabisa na hii inasabanishwa na serikali kuajiri chawa na watu waoWataendea kina baba levo,Dotto magari na kina sampuli ya mwaijaku
Wasukuma 😆😆😆😆 hao hata katika wale wapigania uhuru hawapo. Hawa ni machawa na makatili. Kwa watu wenye hakiWatu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Watu wa Mbeya wamenivutia sana. Yaaani wamama, wazee na vijana wanaacha shughuli zao na wanaingia maporini kumtafuta mtu.Wasukuma 😆😆😆😆 hao hata katika wale wapigania uhuru hawapo. Hawa ni machawa na makatili. Kwa watu wenye haki
Mwisho wa sisi kuongoza tutajigawa , hatuwezi kuongozwa na watu wa porini...Tunataka uhuru wetu ,tuwe sehemu yq Zanzibar.Km kuna mstari tunatakiwa kuchora km nchi..tuchore watu wa pwani mwisho kuongoza nchi hii!
Hiyo mikoa ya mipakani ina watu wengi ambao sio watanzania ni wa nchi jiranimikoa radical tanzania ni mitatu , mbeya, kilimanjaro na musoma. hii mikoa naivulia kofia kwa kuwa na msimamo mkali wa kisiasa na uzarendo.hawadanganyiki wala kuwa machawa. piga mahesabu machawa wavumao wametoka mikoa gani. utalia machozi!
Kweli mkuu ila kuna mtu kasema wasukuma nao ni wapigania haki. Nimekuja nataka kuoneshwa msukuma mpigania haki hapa Tanzania tumjue. Km sio kina bashite tupu na meko. Type za watemiWatu wa Mbeya wamenivutia sana. Yaaani wamama, wazee na vijana wanaacha shughuli zao na wanaingia mapolini kumtafuta mtu.
Hii Tanzania sijawahi iona sehemu zaidi y Mbeya. Hawa watu wapewe maua yao.
Kwa hiyo Watanzania halisi hawana akili?Hiyo mikoa ya mikani ina watu wengi ambao sio watanzania ni wa nchi jirani
Hiyo iliyobaki ndio ya watanzania halisi
Kumbe 🙌Walikata umeme mkoa mzima
Asubuhi hadi jioni.
Kweli watu wamechanganyikiwa😂
Sasa umeme unazuia mkutano??
Wakatufanya hadi tusio kuwa na habari, tupate habari kwamba Lissu anakuja.
This is rubbish, JF mnaruhusije huu upuuzi?Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu huyu kuanzia mochwari, polisi, kwenye mapori, mito na mabonde. Na cha kufurahisha zaidi sio vijana na wanaume pekee. Wapo Wamama, Wazee na hadi watoto.
Hongereni sana Wananchi wa Mbeya. Sasa nimeelewa kwa nini Rayvanny aliimba hakunaga Mwaisa Mshamba. Mna roho na moyo wa kipekee sana katika kujali watu wenu na ubinadamu.
Endapo Wananchi wote wa Tanzania wangekuwa kama Wananchi wa Mbeya, Watesaji wa Watanzania wangekoma.
View attachment 3324667
View attachment 3324843View attachment 3324844View attachment 3324845
Mbona kigoma asilimia kubwa ya raia wa mkoa ule ni warundi ila wamejaa ujinga sana?Hiyo mikoa ya mikani ina watu wengi ambao sio watanzania ni wa nchi jirani
Hiyo iliyobaki ndio ya watanzania halisi
Watanzania halisi hupenda amani na utulivu na hutii sheria bila shuruti
Imagine Mzee kibao aliuwawa na bado Tanga haikureact kweli mbeya shkamoo.Hawa watu wa Mbeya wapewe maua yao. Wanajali sana maisha ya wenzao. Hawana mchezo kabisa.
Tanga wanawaza baikoko na vibao kata tu.Imagine Mzee kibao aliuwawa na bado Tanga haikureact kweli mbeya shkamoo.
AmenMungu ibariki Mbeya
Tanga ni kiwanda cha mapenziTanga wanawaza baikoko na vibao kata tu.