masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #41
Mama mtu wa Mungu, uongo kwake mwiko...inaelekea mlinyanyapaliwa kwelikweli.
..na hilo linadhihirika kwa jinsi mlivyochanganyikiwa na kupagawa kutokana na ahadi za Raisi / Mwenyekiti wa Ccm.
..hizo ni ahadi tu, kazi kubwa zaidi iko ktk utekelezaji wa hizo ahadi.
..Msisahau kwamba nyinyi sio wa kwanza ktk nchi hii kupewa ahadi nzuri-nzuri na Raisi / Ccm.
Ni kweli Magufuli alikuwa akichukua fedha za miradi za huku Nyanda za Juu Kusini na kuzipeleka Kanda ya Ziwa/Chato kwa makusudi.Ndio ,Jiwe alikuwa anachukua pesa kwetu anaenda kujenga kwao kiasi kwamba tungekuwa mbali Sana..
Huku Mbeya alianzisha ujenzi wa wodi za hospital ya meta tuu bil.6,Rais Samia katoa bil.7 kamaliza na ataleta vifaa tiba.
Kamaliza ujenzi wa Ofisi ya RC ambayo ilikuwa inasuansua kwa miaka zaidi ya 10 toka ianze,
Na mambo mengine mengi.Jiwe ndio alifuta hadi 8/8 wakati anajua ni muhimu sana kwa watu wa Nyanda za Juu Kusini.
Huyu Magufuli itakuwa alikutenda vibaya sana, maana kila baya la utawala wa Tanzania kwako ni la 'Magufuli'.Ni kweli Magufuli alikuwa akichukua fedha za miradi za huku Nyanda za Juu Kusini na kuzipeleka Kanda ya Ziwa/Chato kwa makusudi.
Barabara ya kwetuTukuyu-Mbambo-Busokile-Katumba imekuwa ikisuasua muda wote Magufuli yupo madarakani.
Wewe unayaona mitandaoni, sisi huku kwetu tunayaona kwa macho yetu.Huyu Magufuli itakuwa alikutenda vibaya sana, maana kila baya la utawala wa Tanzania kwako ni la 'Magufuli'.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mbeya nimeishi zaidi ya miaka sita nahifamu vizuri, Mbeya kutokuwa na maendeleo waulize wana CCM wenzie ,Magufuli kawa Rais kwa miaka sita tu.Wewe unayaona mitandaoni, sisi huku kwetu tunayaona kwa macho yetu.
Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi miaka 20.Mbeya nimeishi zaidi ya miaka sita nahifamu vizuri, Mbeya kutokuwa na maendeleo waulize wana CCM wenzie ,Magufuli kawa Rais kwa miaka sita tu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ukiwa waziri wewe ni Rais? , Kwamba mh Makame Mbarawa anaweza kugoma kupeleka fedha kwenye hiyo miradi ambayo mmeahidiwa na Rais?Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi miaka 20.
Fedha za miradi zimekuwa zikipokwa kanda hii.
Mbeya barabara nzuri ni za kodi za wananchi-halmashauri.
TANRIADS wapo lakini no funds.
Barabara ya Igawa-Tunduma sasa tunamshukuru mama Samia kwa kuivalia njuga.
Nenda Tukuyu, mji watu wana zalisha chakula kwa wingi pamoja na sehemu nyingine kanda hiyo, barabara kuu toka aliyoiacha Mwalimu.
Lakini nenda Kisarawe ambapo uzalishsji wake ni mdogo sana- barabara kila uchochoro.
Ndio maana tukuambia Magufuli alikuwa mbaguzi.
Kipindi cha Kikwete nikiwa MFA tukikuja Mbeya na tulipita wilaya zote hadi msafara wetu ukapopolewa na mawe usiku labda ulikua mtoto au unaleta uchawa.View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.
Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.
Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.
Viva Rais Samia.
JK hatukuja kipindi cha kampeni, tulikuja ziara ya kikazi na tulilala Kyela kipindi cha DC Mashimba Mashimba, msiwe mnaongea bila facts kisa uchawa. Unatia aibu.Kipindi cha kampeni, siyo ziara.
Naona kumbukumbu zinakutoka.
Shukrani sana kutujuza wananchi.Wananchi tunamuunga mkono,Rais wetu,na serekali yake kwa jumla.Mungu ibariki Tanzania.View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.
Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.
Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.
Viva Rais Samia.
Ngoja sasa tuende sambamba swala la Kikwete na Mbeya.JK hatukuja kipindi cha kampeni, tulikuja ziara ya kikazi na tulilala Kyela kipindi cha DC Mashimba Mashimba, msiwe mnaongea bila facts kisa uchawa. Unatia aibu.
Ndio ,Jiwe alikuwa anachukua pesa kwetu anaenda kujenga kwao kiasi kwamba tungekuwa mbali Sana..
Huku Mbeya alianzisha ujenzi wa wodi za hospital ya meta tuu bil.6,Rais Samia katoa bil.7 kamaliza na ataleta vifaa tiba.
Kamaliza ujenzi wa Ofisi ya RC ambayo ilikuwa inasuansua kwa miaka zaidi ya 10 toka ianze,
Na mambo mengine mengi.Jiwe ndio alifuta hadi 8/8 wakati anajua ni muhimu sana kwa watu wa Nyanda za Juu Kusini.
Haya ulisema walifanya ziara ya siku moja huko chunya alienda kufanya nini? Halafu unaandika vitu irrelevant kabisa.Ngoja sasa tuende sambamba swala la Kikwete na Mbeya.
Msafara ule ulipigwa mawe 2008 kijiji cha Kanga, Chunya.
Baada ya wananchi kumsubiri toka alfajiri hadi giza linsingia ili wampatie kero zao.
Msafara ulipita usiku, na kuamsha hasira za wananchi hao baada ya kupita bila kutatua kero zao.
Mkuu wa mkoa ni Mwakipesile, mwanamtandao wa Kikwete.
Kikwete alihusika sana kuibomoa CCM Mkoa wa Mbeya kutokana na mtandao wake.
Tukumbuke 2007 ilikuwa uchaguzi wa MNEC nchi nzima, na Mwakipesile alipewa jukumu la kumg'oa Mwandosya, aliyekuwa current MNEC.
Kikwete alitaka kumweka Thomas Mwang'onda, hakufanikiwa.
Kutokana na matukio hayo Kikwete hakukanyaga tena huko Mbeya na kero za wananchi zilibaki vile vile.
Wewe ndio mjinga tena wa kutupwa.Haya ulisema walifanya ziara ya siku moja huko chunya alienda kufanya nini? Halafu unaandika vitu irrelevant kabisa.
Ile ziara tulipita wilaya zote za mkoa wa Mbeya enzi hizo hata haijakatwa Songwe. Ile siku kulikua na hali mbaya ya hewa na barabara na JK alikua akisimamishwa mara kwa mara kiasi cha kupita pale usiku kitu ambacho si salama kwa ziara za rais.
Acha utoto kuandika nyuzi za kichawa mjinga mkubwa.
We kweli kubwa jinga!Kipindi cha Kikwete nikiwa MFA tukikuja Mbeya na tulipita wilaya zote hadi msafara wetu ukapopolewa na mawe usiku labda ulikua mtoto au unaleta uchawa.
Umesema kweli mkuu...Na wewe ni mwenyeji wa Mbeya na kanda ya magharibi?
..waliokwaza maendeleo yenu na ya Tz kwa ujumla ni Ccm.
..wamelazimisha mfumo ambao wananchi hawawezi kuwawajibisha viongozi.
..kungekuwa na mfumo unaowezesha wananchi kuwawajibisha viongozi, ambao miaka yote wamekuwa ni Ccm, wanambeya msingekuwa mnapewa ahadi za uongo miaka yote hii.
We kweli kubwa jinga!
Si unatoka Kyela wewe?
Fahari yako kuwa kwenye msafara tu, Kikwete kakufanyia nini kwenu?
Heri mama Samia anafanya kweli na anastahili pongezi.
Mkuu kuna watu hawapendi kujua ubaya ulikotokea hadi tupo hapa...msigombane mwenye kwa wenyewe.
..adui yenu, anayekwamisha maendeleo yenu, ni Ccm.
..huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwajibishwi halafu ukategemea mabadiliko au maendeleo.
Mkuu kuna watu hawapendi kujua ubaya ulikotokea hadi tupo hapa.
Mama anasafisha riho mbaya za miaka na miaka.