Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.

Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.

Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.

Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.

Viva Rais Samia.
Hivi haya mambo yanakujaje? Tangu uhuru? Hakuna kitu kibaya kama kumdhalilisha mtu huku ukidhanu unampogeza! Naamini Rais SSH ana akili na watu aina yako ataendelea kuwapuuza.
 
Baada ya kwenda kote huko amefanya nini , Je amerudisha soko lililoporwa na ccm kwa Halmashauri ya Kyela ?
 
We kweli kubwa jinga!
Si unatoka Kyela wewe?
Fahari yako kuwa kwenye msafara tu, Kikwete kakufanyia nini kwenu?

Heri mama Samia anafanya kweli na anastahili pongezi.
We shida yako nini? Ulitaka niseme nini? Nimesema wapi mimi kuwa kwenye msafara ilikua fahari kwangu? Kuwa na adabu maana ungeweza jadili bila matusi.
 
Wewe ndio mjinga tena wa kutupwa.
Hutaki kuambiwa madudu aliyofanya Mwakipesile kwa maendeleo ya Mbeya.

Sasa utuambie kilichomsibu Kikwete na kuisahau/kuinyanyapaa Mbeya.
Ninyi wa mtandao mmeifanyia damage kubwa Mbeya kimaendeleo.
Wewe hapa tunajadili madudu ya Mwakipesile au nilikua nakukanusha ulichosema kuwa hakuna rais amewahi fanya ziara ndefu Mbeya zaidi ya Samia? Hayo ya John Mwakipesile hakuna asiyeyafahamu na kwenye ziara ile nakumbuka tulikaa pale kyela mpaka saa tisa za usiku kushughulikia huo mgogoro na Kikwete

Siku nyingine njoo na data kamili acha blah blah za Uchawa eti Samia ndiye rais pekee aliyepita wilaya zote Mbeya really?
 
Mijitu mijinga ndo zenu.
Sasa baada ya kukaa mpaka usiku wa manane Kyela ndo mkapata nini kwa Kikwete.
Ufahari tu wa degree nne kama aliyekuwa mbunge wenu, lakini maji matupu.

Mama Samia bado yuko juu!
 
Hivi haya mambo yanakujaje? Tangu uhuru? Hakuna kitu kibaya kama kumdhalilisha mtu huku ukidhanu unampogeza! Naamini Rais SSH ana akili na watu aina yako ataendelea kuwapuuza.
We mjinga nini?
Shukrani nayo ya kupuuzwa?
 
Mijitu mijinga ndo zenu.
Sasa baada ya kukaa mpaka usiku wa manane Kyela ndo mkaoata nini kwa Kikwete.
Ufahari tu wa gegree nne kama aliyekuwa mbunge wenu, lakini maji matupu.

Mama Samia bado yuko juu!
Acha utoto, huu uzi umekuumbua si ulisema hakuna rais aliyekaa Mbeya zaidi ya Samia? Nimekupa data tu za Kijwete umehamisha magoli sijui mwanamtandao na blah blah nyingine za kitoto.

Hata Mkapa kawahi fanya ziara ndefu sana Mbeya na Mwinyi na Nyerere ndio kabisaa.

Mnapikaa kuleta nyuzi zenu za kichawa mjue kuna watu wazima humu. Sijawahi ona mnyakyusa mpumbavu kama wewe akifuatiwa na Tulia.
 
Sifa ama upumbavu?

Na najua huyo mama yako huwa anapitia sana JF mwambie aachane na maneno ya taharabu na afanye kazi.

Mikoa ya kusini haikuwa level hii iliyo nayo, mikoa inayoongoza kwa uzalishaji wa vyakula na pato kwa taifa ilitakiwa kupewa kipaumbele kwa taifa ili uzalishaji uzidi kukuwa.

Kuzulula hovyo na kujitapa kuwa amezunguka nchi huo ni upumbavu, wananchi wanataka maendeleo na sio maneno ya ahadi za uongo.

Hii nchi machawa ndio mnaomferisha huyo mama yenu kwa kumpamba hata asipotakiwa kupambwa.

Mwambieni ukweli kuwa kwa ground maisha sio powa kabisa
 
Acha utoto, huu uzi umekuumbua si ulisema hakuna rais aliyekaa Mbeya zaidi ya Samia? Nimekupa data tu za Kijwete umehamisha magoli sijui mwanamtandao na blah blah nyingine za kitoto.

Hata Mkapa kawahi fanya ziara ndefu sana Mbeya na Mwinyi na Nyerere ndio kabisaa.

Mnapikaa kuleta nyuzi zenu za kichawa mjue kuna watu wazima humu. Sijawahi ona mnyakyusa mpumbavu kama wewe akifuatiwa na Tulia.
Unajidai mtu mzima lakini kichwani hamna kitu

Kutembea kwenye msafara wa kikwete unajiona mjaaanja!

Kumbe masikini ambaye matako yanalia mbwata.
 
View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.

Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.

Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.

Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.

Viva Rais Samia.
Nawashangaa wanaobeza mtu anayemshukuru Rais wake kwa kuleta neema.

Kwetu watu wanaobeza nia njema wanakuwa na roho ya kichawi.
 
Unajidai mtu mzima lakini kichwani hamna kitu

Kutembea kwenye msafara wa kikwete unajiona mjaaanja!

Kumbe masikini ambaye matako yanalia mbwata.
Hii inahusiana nini na majibu yangu hapo juu? Mbona umeshindwa tetea hoja yako?

Mpumbavu sana wewe wenzio wanatajirika na parachichi na kilimo huko Mbeya we umekalia UCHAWA hovyo sana.
 
Nawashangaa wanaobeza mtu anayemshukuru Rais wake kwa kuleta neema.

Kwetu watu wanaobeza nia njema wanakuwa na roho ya kichawi.
Mkuu mijitu ya huko ustaarabu huwa hawana.
Mbunge wao alienda kuomba kura kwa kuwadharau wapiga kura anaowaomba kura , kuwa ni wajinga hawajasoma, yeye wamchague kwa vile ana degree nne.
Sasa huyo jamaa tunaebishana ni saizi hiyo hiyo.
Badala ya kushukuru kuwa mama Samia kaahidi kwao madaraja manne mto Songwe yeye anajitapa kuwa alikuwa katika msafara wa Kikwete zamani.
Ni mijitu mijinga hiyo mijamaa.
Ingalau wangeshukuru hayo madaraja,mito inawaua kila masika na wanakufa kama vyura.
 
Hii inahusiana nini na majibu yangu hapo juu? Mbona umeshindwa tetea hoja yako?

Mpumbavu sana wewe wenzio wanatajirika na parachichi na kilimo huko Mbeya we umekalia UCHAWA hovyo sana.
Mko wengi mijitu mijinga, shukuru basi hata hayo madaraja mliyoahidiwa.
 
Wewe mi siwezi kuwa mpumbavu kama wewe, kwa umri nilionao siwezi kuwa garasa kwa hao takataka wenzako.
Mko wengi, watu msio na shukrani.
Mnakufa kwa mafuriko kila mwaka.
Kujisifu kuwa katika msafara wa mtandao badala ya kuomba miundo mbinu ya kuzuia mafuriko.
Wajinga ndio waliwao.
 
We mpumbavu umeleta mada ya kichawa tunekupa nondo umehamisha magoli sasa unatapatapa tu.

Sikuwahi kuwa katika mtandao wa takataka yeyote kutoka huko CCM. Kikwete akiwa madarakani mimi nilikua mkurugenzi wa idara flani pale MFA na niliambatana nae Mbeya kwa issues fulani za kiserikali. Umekazania mtandao mimi sio takataka kama wewe, ukimshukuru wewe Samia inatosha maana ndo kazi zenu machawa.

Uko hovyo sana.
 
Pole, Kikwete yuko Nairobi, we mpambe wake unakula vumbi.
Vipi mbona hauko huo msafara?
Mpambe mjinga wa mtandao.
 
Duh !!!....

Kwahio wale ambao walikuwa hawana teknolojia ya sasa ya kuweza kuwafikia watu kwa dakika na kutatua Kero kwa urahisi hawakukaa kama huyu ambaye angeweza kupunguza gharama kwa kufanya vitu remotely ?

Hivi hii Ziara / Kampeni yake imetumia kiasi gani cha Kodi kama gharama ? Na ni kipi alichofanya ambacho kisingeweza kufanyika vinginevyo..., Anyway bora kutumia muda wake huku na kuvunja rekodi za ndani kuliko zile alizovunja huko USA bila hata kukutana na Mwenyeji Wake...

Sio mbaya aendelee kuzunguka ila itapendeza zaidi tukijua gharama ya hio mizunguko / kampeni
Hata hueleweki unachotaka kusema. Mara unahoji gharama mara unaponda kwenda nje na tena unapongeza kwenda Nyanda za Juu, alimradi upinge tu
 
Back
Top Bottom