Dah ...usipokufa mwaka huu...Basi utakufa kabla June mwakani...kwa stress [emoji2960]Mkuu
Unashindwa kuelewa kabisa, Hakuna mtu wa Moshi anaekuja Dar anapakia kitu cha 16,000/= kinachofika next day!
Hakuna! Kwenda Moshi, tatizo sio hela ya kupakia, tatizo ni speed ya kufika Moshi! Na treni ya mawe can never provide that! Hiyo treni ingepata watu kama ingekua inaenda Kigoma!
Basi za 30,000/= ambazo ni luxury sleeping coaches ni lazima zitajaa maana muhimu ni confort na speed ya kufika Moshi na Arusha! Huko serikalini they will never learn!
Bure kabisa! Mtu wa kwenda Moshi tangu lini akatafuta usafiri wa 16,000/= kufika Moshi siku inayofuata???
Never! Naongea kwa purely business standpoint na ninavyoijua njia ya Dar-Moshi-Arusha! Natoka huko na najua kila kitu! Hakuna mtu atakaepakia gogo!
Mark my words!
Namchukia Magufuli na watu wake ila kwa hili naongelea kibiashara na jinsi navyojua hii njia!
wengine ni wachaga mkuu, japo naona hiyo uliyosema pia inatokeaga pia, kuna wachaga wapumbavu kama ilivyo kwenye kila jamii, mimi ni mchaga pia na ndio maana inaniuma pia kuona hivyoNinahisi kama kuna kundi la watu wanataka kulazimisha uadui wa haya makabila kisa ni siasa yaani iwe kama ilivo kenya halafu baadaye wanasiasa kutoka makabila haya wawe wanatafuta uungwaji mkono wa kikanda ,kikabila hii ni njia rahisi iliyosalia kuelekea mgawanyiko mkuu hatimaye ikibidi vita kati yetu huwa sioini sababu mtu kuingiza ukabila sehemu ambapo hauhitajiki na ninahisi wengi wala si wachaga au wachaga wako under attack indirectly ili waonekane ni watu wenye ukabila yaani mtu anjifanya mchaga kutukana kabila jingine ni wazi watu wa kabila jingine hata wasipojibu wanakuwa wanawachukulia tofauti
HallelujahKwanza mimi ninaenda na gari yangu Nissan Xtrail.
Treni sihitaji!
Hallelujah
Hapandi mtu, Nani anapanda gogo linafika Moshi baada ya siku 2 au 3? Wachagga sio masikini hivyo!
Hizi train zita prove failure on the arrival! Hapandi mtu nakwambia! Mtu anataka apakie afike Moshi siku hiyo hiyo! Hizo treni zitapakia ndizi na nguruwe kutoka Moshi kuja Dar!
Believe me!
Hapakii mtu mle!
Itakua kilimanjaro biaWananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.
Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.
Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,Acha uzwazwa kwa hiyo wachaga wore wanamiliki magari au wote wanamudu gharama za kutumia usafiri binafsi?
Huu ni wivu
Usitusemee wana Moshi
Sisi tutapanda,
Hovyo sana we
Huu ni wivu
Usitusemee wana Moshi
Sisi tutapanda,
Hovyo sana we
Dah ...usipokufa mwaka huu...Basi utakufa kabla June mwakani...kwa stress [emoji2960]
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse train
66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,
Wakati treni iki operate haikutegemewa kwa abiri,zaidi ilitegemewa kwa mizigo.
Sijui umenielewa we bongo lala....?????
Ndugu, nadhani Umekuwa mbinafsi sana wa Mawazo; Ni imani yangu katikika jamii zetu watu tunatofautiana Mtazamo, uchumi, Maarifa, Uelewa na vitu vingine kedekede.
Usafiri wa Treni hauna suala la Daraja la mtu kimaisha, isipokuwa sababu ndiyo itakayomfanya Mtu aamue Kuchagua Treni kama usafiri wake.
Kusema kwamba Watu wa Kilimanjaro Hawawezi Kuchagua treni, badala yake watatumia Gari zao binafsi huo ni Ubinafsi wa kimawazo; kwani Kila mtu pamoja na mambo yote anao utashi wake kwenye maamuzi, huku akisukumwa na Sababu za kufanya maamuzi hayo.
Nimezungumza hili si kwa kutaka kukukosoa, no, Mchango wako ni mzuri isipokuwa umejaa na (Umimi) Ubinafsi; All in all Comment iko sawa.
Treni sio mara ya kwanza kuwepo Moshi na wkt ikiwepo ilitegemewa kwa asilimia ndogo sana na abiria,zaidi ilitumika kubeba mizigo.Ndugu, nadhani Umekuwa mbinafsi sana wa Mawazo; Ni imani yangu katikika jamii zetu watu tunatofautiana Mtazamo, uchumi, Maarifa, Uelewa na vitu vingine kedekede.
Usafiri wa Treni hauna suala la Daraja la mtu kimaisha, isipokuwa sababu ndiyo itakayomfanya Mtu aamue Kuchagua Treni kama usafiri wake.
Kusema kwamba Watu wa Kilimanjaro Hawawezi Kuchagua treni, badala yake watatumia Gari zao binafsi huo ni Ubinafsi wa kimawazo; kwani Kila mtu pamoja na mambo yote anao utashi wake kwenye maamuzi, huku akisukumwa na Sababu za kufanya maamuzi hayo.
Nimezungumza hili si kwa kutaka kukukosoa, no, Mchango wako ni mzuri isipokuwa umejaa na (Umimi) Ubinafsi; All in all Comment iko sawa.
Acha uongoo eti 66% ya wachaga wanamiliki!! We ni mwehu mpenda sifa hakuna kitu kama hicho mnajiona ni watu bora kuliko wengine kumbe ni viazi tu huniambii kitu subiri uone kama hawatapanda tereni.66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,
Wakati treni iki operate haikutegemewa kwa abiri,zaidi ilitegemewa kwa mizigo.
Sijui umenielewa we bongo lala....?????
Kwa hiyo watu uliopanda nao gari ya magazeti ulifikiri ni Wachagga siyo?
Yaani wewe kila ukipanda gari ya magazinga unawaza kwamba umepanda na Wachagga.
Wachagga wanakushulisha hadi unawaota umepanda nao kwenye magari ya mizigo unayopanda
Mkuu
Natoa fact!
Usafiri wa Moshi sio nauli!
Hapo ndipo mnapofeli!
Usafiri wa Moshi ni speed na comfort!
Thats the FACT!