Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

mi nkiwaza gari moshi nakumbukaga AJALI ya kilosaaaa....sijui njia ya Moshi ka ina ajali kumbukizi?
 
Mkuu
Unashindwa kuelewa kabisa, Hakuna mtu wa Moshi anaekuja Dar anapakia kitu cha 16,000/= kinachofika next day!

Hakuna! Kwenda Moshi, tatizo sio hela ya kupakia, tatizo ni speed ya kufika Moshi! Na treni ya mawe can never provide that! Hiyo treni ingepata watu kama ingekua inaenda Kigoma!

Basi za 30,000/= ambazo ni luxury sleeping coaches ni lazima zitajaa maana muhimu ni confort na speed ya kufika Moshi na Arusha! Huko serikalini they will never learn!

Bure kabisa! Mtu wa kwenda Moshi tangu lini akatafuta usafiri wa 16,000/= kufika Moshi siku inayofuata???

Never! Naongea kwa purely business standpoint na ninavyoijua njia ya Dar-Moshi-Arusha! Natoka huko na najua kila kitu! Hakuna mtu atakaepakia gogo!

Mark my words!

Namchukia Magufuli na watu wake ila kwa hili naongelea kibiashara na jinsi navyojua hii njia!
Dah ...usipokufa mwaka huu...Basi utakufa kabla June mwakani...kwa stress [emoji2960]
 
Ninahisi kama kuna kundi la watu wanataka kulazimisha uadui wa haya makabila kisa ni siasa yaani iwe kama ilivo kenya halafu baadaye wanasiasa kutoka makabila haya wawe wanatafuta uungwaji mkono wa kikanda ,kikabila hii ni njia rahisi iliyosalia kuelekea mgawanyiko mkuu hatimaye ikibidi vita kati yetu huwa sioini sababu mtu kuingiza ukabila sehemu ambapo hauhitajiki na ninahisi wengi wala si wachaga au wachaga wako under attack indirectly ili waonekane ni watu wenye ukabila yaani mtu anjifanya mchaga kutukana kabila jingine ni wazi watu wa kabila jingine hata wasipojibu wanakuwa wanawachukulia tofauti
wengine ni wachaga mkuu, japo naona hiyo uliyosema pia inatokeaga pia, kuna wachaga wapumbavu kama ilivyo kwenye kila jamii, mimi ni mchaga pia na ndio maana inaniuma pia kuona hivyo
Ama wasukuma pia wapo wajinga ama kuna mtu anawachafua pia ili kujenga chuki na mgawanyiko.
 
Huu ni wivu

Usitusemee wana Moshi

Sisi tutapanda,

Hovyo sana we
Hapandi mtu, Nani anapanda gogo linafika Moshi baada ya siku 2 au 3? Wachagga sio masikini hivyo!

Hizi train zita prove failure on the arrival! Hapandi mtu nakwambia! Mtu anataka apakie afike Moshi siku hiyo hiyo! Hizo treni zitapakia ndizi na nguruwe kutoka Moshi kuja Dar!

Believe me!
Hapakii mtu mle!
 
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.

Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.

Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.

Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Itakua kilimanjaro bia
 
Acha uzwazwa kwa hiyo wachaga wore wanamiliki magari au wote wanamudu gharama za kutumia usafiri binafsi?
66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,

Wakati treni iki operate haikutegemewa kwa abiri,zaidi ilitegemewa kwa mizigo.

Sijui umenielewa we bongo lala....?????
 
Huu ni wivu

Usitusemee wana Moshi

Sisi tutapanda,

Hovyo sana we

Nionee wivu kodi yangu?

Fvck ya!

Jiongelee wewe mwenyewe,wewe sio msemaji wa wana Moshi wote!

Haya madaraka unayojipa ya kuongelea wana Moshi wote umeyatoa chooni au mawe kakupa?

Jisemee wewe kua utapakia,mimi sitapakia kamwe!

Mimi as mimi!

Again,my decision is my decision,you got yours in your ass!

Run to mawe,tell him I said hi!
 
Dah ...usipokufa mwaka huu...Basi utakufa kabla June mwakani...kwa stress [emoji2960]

Mkuu

Natoa fact!

Usafiri wa Moshi sio nauli!

Hapo ndipo mnapofeli!

Usafiri wa Moshi ni speed na comfort!

Vyote hivyo treni yenu ya kisenge haitoi!

Hakuna mtu anapakia mle!

Thats the FACT!
 
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse train

Kwa hiyo watu uliopanda nao gari ya magazeti ulifikiri ni Wachagga siyo?

Yaani wewe kila ukipanda gari ya magazinga unawaza kwamba umepanda na Wachagga.

Wachagga wanakushulisha hadi unawaota umepanda nao kwenye magari ya mizigo unayopanda
 
66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,

Wakati treni iki operate haikutegemewa kwa abiri,zaidi ilitegemewa kwa mizigo.

Sijui umenielewa we bongo lala....?????

Vyasaka kichwa nazi hayaelewi haraka mpaka uyakung'ute sawasawa
 
Ndugu, nadhani Umekuwa mbinafsi sana wa Mawazo; Ni imani yangu katikika jamii zetu watu tunatofautiana Mtazamo, uchumi, Maarifa, Uelewa na vitu vingine kedekede.
Usafiri wa Treni hauna suala la Daraja la mtu kimaisha, isipokuwa sababu ndiyo itakayomfanya Mtu aamue Kuchagua Treni kama usafiri wake.
Kusema kwamba Watu wa Kilimanjaro Hawawezi Kuchagua treni, badala yake watatumia Gari zao binafsi huo ni Ubinafsi wa kimawazo; kwani Kila mtu pamoja na mambo yote anao utashi wake kwenye maamuzi, huku akisukumwa na Sababu za kufanya maamuzi hayo.
Nimezungumza hili si kwa kutaka kukukosoa, no, Mchango wako ni mzuri isipokuwa umejaa na (Umimi) Ubinafsi; All in all Comment iko sawa.

Kwa hiyo unalazimisha tutumie huo usafiri wenu wa kimasikini?
 
Treni sio mara ya kwanza kuwepo Moshi na wkt ikiwepo ilitegemewa kwa asilimia ndogo sana na abiria,zaidi ilitumika kubeba mizigo.

Na pia watu Moshi they need luxurious and fastest safaris no matter is how much...,
 
66% wanamiliki na hao wengine hutegemea mabasi zaidi kwa sababu ni very shap na luxury tofauti na treni....,

Wakati treni iki operate haikutegemewa kwa abiri,zaidi ilitegemewa kwa mizigo.

Sijui umenielewa we bongo lala....?????
Acha uongoo eti 66% ya wachaga wanamiliki!! We ni mwehu mpenda sifa hakuna kitu kama hicho mnajiona ni watu bora kuliko wengine kumbe ni viazi tu huniambii kitu subiri uone kama hawatapanda tereni.
 
Hizi shukrani haziishi tu. Matanzania cjui ni majitu gani. Yaani yananyenyekea as if mtu anatoa ela mfukoni mwake.
 
Aisee naona unaongoza kubishana. Nenda hapo ubungo kuanzia tarehe 22 uone wanavyopata taabu kurudi moshi. Kama wote wana magari kwa nini nauli zinapanda wakati wa christmas. Wengi wao usafiri wanatmia private transport na kipindi hiki hupanda mafuso tena kwa kugombania acha kubishana na ukweli
Kwa hiyo watu uliopanda nao gari ya magazeti ulifikiri ni Wachagga siyo?

Yaani wewe kila ukipanda gari ya magazinga unawaza kwamba umepanda na Wachagga.

Wachagga wanakushulisha hadi unawaota umepanda nao kwenye magari ya mizigo unayopanda
 
Mkuu

Natoa fact!

Usafiri wa Moshi sio nauli!

Hapo ndipo mnapofeli!

Usafiri wa Moshi ni speed na comfort!

Thats the FACT!

Dah....acha ujinga..kama si nauli ila speed na comfort....nenda pale KIA angalia wangapi wanaenda Moshi na wangapi Arusha [emoji2960]
 
Back
Top Bottom