Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa.
Juma Chikoka, DC Rorya amesema “Mhe. Rais Dkt. Suluhu Samia ametunusuru na kadhia za kukamatiwa vitu vyetu ikiwemo mifugo kwa ajili ya ujenzi wa shule, tuumuungeni mkono maana Serikali yake imetoa fedha nyingi mno ili Watoto wetu wasome, tutoieni nguvu zetu katika kufanya kazi.”